CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Atakuwa anabweka sio kuunguruma
Kama alivyo Mbowe mwenyekiti wa kudumu Chadema.Kuna watu hawajui aibu ni kitu gani. Mgombea urais wa kudumu huyu.
Hakuna kitu kibaya kama njaaKuna watu hawajui aibu ni kitu gani. Mgombea urais wa kudumu huyu.
Ndio maana mikutano yake inapata nyomi la kufa mtuLipumba sera zake alaumu mtu,anaeleza nini atafanya,atakuza vipi uchumi,atatumia njia gani kuongeza ajira,fedha atapataje za kuendesha nchi n.k
Mshauri JPM asilaumu mtu piaLipumba sera zake alaumu mtu,anaeleza nini atafanya,atakuza vipi uchumi,atatumia njia gani kuongeza ajira,fedha atapataje za kuendesha nchi n.k
Lipumba hana njaa ila amekosa Hekima
JPM analaumu vibaraka na wanaopinga maendeleo ya nchi.kama unapinga maendeleo ni lazima ulaumiwe na mtu yoyote yule.Mshauri JPM asilaumu mtu pia