Tetesi: Prof Lipumba, Mzee Mbowe na James Mbatia wakutana kuelekea uchaguzi mkuu lengo ni kuitoa CCM madarakani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna Taarifa za kitetesi kuwa Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amekutana faragha na Viongozi waandamizi wa Upinzani Wastaafu Mzee Mbowe na James Mbatia

Nini kimejiri, zikitufikia utafahamishwa hapa hapa japo inaelezwa wanapanga mikakati ya kuitoa CCM madarakani

Ahsanteni sana πŸ˜„
 
Labda kama ni kupingana na Lissu. Hao wazee si ni CCM?
Wengi wao kama siyo wote ni Mamluki wa wale jamaa
 
Tatizo lako wewe mzushi hivyo inakuwa vigumu kutilia maanani taarifa zako.
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana - hao hawana ushawishi tena ktk jamii - CCM si chama cha kuanguka
 
Kwa kuokoteza VI-HABARI tu, hauwezekaniki!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Abdul hakuwepo kwenye hicho kikao?
 
πŸ˜†πŸ˜†Acha kuchekesha walionuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…