Tetesi: Prof Lipumba, Mzee Mbowe na James Mbatia wakutana kuelekea uchaguzi mkuu lengo ni kuitoa CCM madarakani!

Kuna Taarifa za kitetesi kuwa Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amekutana faragha na Viongozi waandamizi wa Upinzani Wastaafu Mzee Mbowe na James Mbatia

Nini kimejiri, zikitufikia utafahamishwa hapa hapa japo inaelezwa wanapanga mikakati ya kuitoa CCM madarakani

Ahsanteni sana 😄
Ccm daima Samia mitano tena
 
Mbowe na mbatia wamepinduliwa, lipumba kapindua. Nadhani wana agenda ya kumtoa Lissu tuu hakuna cha zaidi.
 
Back
Top Bottom