Juzi mtalaamu wa Uchumi na Mwenyekiti wa CUF Prof. I.Lipumba alitoa darsa la uchumi na jinsi gani Tanzania inaweza kutoka hapa tulipo kutokana na sera mbovu za CCM. Lakini mi japo sio mchumi napata shaka na namna yy prof.na CUF yake watavyoweza kutekeleza sera hii ya kuwapa watu hela kama ni on monthly basis sijui? maana sikuwepo.
Nchi kama za scandinavia, italy na kwingineko hii sera ilikuwepo huko nyuma ila kwa sasa haitumiki kwani ime- prove failure na hii ni kutokana na mazingira ya sasa ya uchumi wa dunia "GLOBAL ECONOMY". Mi nilizani angeleza namna CUF itavyoweza kutengeneza mazingira/fursa bora ili kumwezesha hata mtu wa chini kabisa kutumia fursa hizo kujitengenezea maisha bora, kama tunavyoona kwa nchi ya Rwanda sasa ivi.
Pengine wachumi watusaidie ktk hili, vinginevyo mimi naona kama hii ni NADHARIA zaidi na pengine kauli ya kisiasa, ni kitu kisichowezekana kabisa ktk mazingira ya sasa Tanzania