Kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya miaka 25 tangu kifo cha Mwl Nyerere uwanja wa CCM Kilumba Mwanza.
Prof. Lipumba pamoja na viongozi wengine wa vyama vidogo vidogo vya upinzani nchini, wakiongozwa na Prof. Lipumba walionesha kutoa sura ya tabasamu pale mshereheshaji Shaaban Kissu alivyowaita vyama rafiki wa CCM.
Awali nilidhani wataoneshwa viongozi wa Frelimo, ANC, Zanu-PF, MPLA na SWAPO ambao ndivyo vyama rafiki wa CCM kumbe ni wakina Lipumba na wenzake.
Picha haikukaa sana sikuweza kubaini hata Kiongozi wa Chama mstaafu kama na yeye alikuwepo kwenye kundi la vyama rafiki.