mimi nimeshatoka kanisani na kwa jinsi nilivyoelewa na padre wangu alipokuwa anatusomea tamko hilo hakuna wa kunishawishi kuipigia kura ya ndiyo katiba feki ya Chenge.
Magezeti yanamlisha maneno au anaendeleza dhana ya unafiki!
[video]https://youtu.be/ujwfFUUAD70[/video]
Mwaka huu tutaona na kusikia mengi!
Ndugu wananchi tujitokeze kwa wingi kujiandikisha ktk daftari la kudumu la wapiga kura ili kuipigia kura ya HAPANA katiba inayopendekezwa.
Pia taratibu kibaao za kisheria na kimaadili zimekiukwa.Pia hata sisi leo tumesomewa tamko la kutoka baraza la maaskofu Tanzania kwamba tusiipigie kura katiba mpya tusio ifahamu NAUNGA MKONO HOJA
Lipumba ni mnafiki mkubwa hana msimamo leo hii haitaki mahakama ya kadhi! Anasema utaratibu kuanzisha uangaliwe upya wakati Maaskofu wa ukawa wanasema jambo la mahakama ya kadhi lisiwepo kabisa.