mimi nimeshatoka kanisani na kwa jinsi nilivyoelewa na padre wangu alipokuwa anatusomea tamko hilo hakuna wa kunishawishi kuipigia kura ya ndiyo katiba feki ya Chenge.
Pia hata sisi leo tumesomewa tamko la kutoka baraza la maaskofu Tanzania kwamba tusiipigie kura katiba mpya tusio ifahamu NAUNGA MKONO HOJA