Prof. Lipumba: Napata wasiwasi kanuni zipi kutumika Uchaguzi Serikali za Mitaa

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi.

Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa majadiliano yaliyoandaliwa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) lilokuwa linaangazia changamoto zinazowakabili vijana wa sasa kwenye siasa za uongozi na kujenga uelewa wa pamoja kati ya vizazi tofauti ili kuleta mabadiliko mazuri katika sera za nchi.
 
Bosheni ya 4R na vilio vya kina Makamba
 
Wakiambiwa waandamane kushinikiza mabadiliko, wanasema wanaamini kwenye njia ya majadiliano! Yaani ni kama wanatumia mashinikizo ya wengine kupewa hongo kwa mlango wa nyuma.
 
KANUNI ZITATUNGWA NA CCM
 
kanuni ni zile zile japo kuna virekebisho na maboresho kidogo yatafanyika 🐒

vp kwani chama chake kipo na kinawagombea kabisa 🐒
 
Huyu lipumba ni miongoni mwa watu waliotumika sana katika ujenzi wa demokrasia hasa mikoa ya pwani. Lakini sasa haaminiki tena
Wakiambiwa waandamane kushinikiza mabadiliko, wanasema wanaamini kwenye njia ya majadiliano! Yaani ni kama wanatumia mashinikizo ya wengine kupewa hongo kwa mlango wa nyuma.
 
Kwahiyo tuseme prof hajui hizo kanuni

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi.

Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa majadiliano yaliyoandaliwa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) lilokuwa linaangazia changamoto zinazowakabili vijana wa sasa kwenye siasa za uongozi na kujenga uelewa wa pamoja kati ya vizazi tofauti ili kuleta mabadiliko mazuri katika sera za nchi.
KWahiyo tuseme prof hajui kanuni hadi sasa?
 
Attachments

Back
Top Bottom