Bosheni ya 4R na vilio vya kina Makamba
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi.
Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa majadiliano yaliyoandaliwa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) lilokuwa linaangazia changamoto zinazowakabili vijana wa sasa kwenye siasa za uongozi na kujenga uelewa wa pamoja kati ya vizazi tofauti ili kuleta mabadiliko mazuri katika sera za nchi.
Anajiliza tu hamna kitu hapoMwambieni Lipumba ajiunge kwenye maandamano ya chadema ili kudai katiba mpya na tume huru.
π€£π€£π€£πMwambieni Lipumba ajiunge kwenye maandamano ya chadema ili kudai katiba mpya na tume huru.
KANUNI ZITATUNGWA NA CCM
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi.
Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa majadiliano yaliyoandaliwa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) lilokuwa linaangazia changamoto zinazowakabili vijana wa sasa kwenye siasa za uongozi na kujenga uelewa wa pamoja kati ya vizazi tofauti ili kuleta mabadiliko mazuri katika sera za nchi.
kanuni ni zile zile japo kuna virekebisho na maboresho kidogo yatafanyika π
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi.
Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa majadiliano yaliyoandaliwa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) lilokuwa linaangazia changamoto zinazowakabili vijana wa sasa kwenye siasa za uongozi na kujenga uelewa wa pamoja kati ya vizazi tofauti ili kuleta mabadiliko mazuri katika sera za nchi.
Chadema wamekaa kimya siku zote Leo Kwa sababu ya uchaguzi wanakupanga na wew unakubali ujinga miaka yote wamefanya maridhianoMwambieni Lipumba ajiunge kwenye maandamano ya chadema ili kudai katiba mpya na tume huru.
Wakiambiwa waandamane kushinikiza mabadiliko, wanasema wanaamini kwenye njia ya majadiliano! Yaani ni kama wanatumia mashinikizo ya wengine kupewa hongo kwa mlango wa nyuma.
KWahiyo tuseme prof hajui kanuni hadi sasa?