Prof. Lipumba (PhD), Mwenyekiti CUF, 1999-2022!

Prof. Lipumba (PhD), Mwenyekiti CUF, 1999-2022!

Mfumo ukishawekeza kwako watahakikisha unadumu sana hata kama unachofanya ni zero na hauna msaada kwa nchi.

Kuna siku nilimuona Lipumba airport anamsindikiza binti yake nikataka kumpongeza kwa kula mema ya nchi.
 
Tangu naanza darasa la 1 mpaka sasa nakaribia kustafu kazi bado lipumba ni kiongozi pale CAF....ni CUF si caf
 
Back
Top Bottom