Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Mwenyekiti wa CUF prof Lipumba ametoa ripoti ya Baraza la Wazee wa chama hicho waliokaa hivi karibuni na kuelezea kuwa wanasikitishwa na ukuaji wa kasi wa deni la taifa na inaelekea Rais Samia anampiku Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa u Vasco dagama wa kusafiri nje ya nchi kukopa kwa kisingizio cha kufungua nchi!