Prof. Lipumba: Rais Samia anaelekea kumpiku Kikwete kwa kusafiri nje ya nchi

Prof. Lipumba: Rais Samia anaelekea kumpiku Kikwete kwa kusafiri nje ya nchi

Lipumba na Slaa waliuuza upinzani 2015

Bila hivyo kungekuwa na safu hii ya uongozi 2015.

Rais - Lowassa
Waziri mkuu - Mbowe
Waziri wa Fedha- Lipumba
Waziri mambo ya ndani - Slaa
Waziri wa katiba na sheria - Lissu
Waziri TAMISEMI - Halima mdee

The rest is history
 
Tatizo wanasiasa hawaaminiki, akitolewa kwenye mfumo wa kulamba asali huwa wana hoja nzito, wakilamba wanasahau kila kitu.!!
 
Lipumba na Slaa waliuuza upinzani 2015

Bila hivyo kungekuwa na safu hii ya uongozi 2015.

Rais - Lowassa
Waziri mkuu - Mbowe
Waziri wa Fedha- Lipumba
Waziri mambo ya ndani - Slaa
Waziri wa katiba na sheria - Lissu
Waziri TAMISEMI - Halima mdee

The rest is history

Aliyeuza upinzani ni mbowe
 
Mzee anatafuta kulambishwa asali.

Hivi huyu prof anamchango gani kwa taifa kuhusu mambo ya uchumi?
 
Lipumba nimedharau tangu alipotumiwa kuivuruga Cuf. hakuna msomi muislam mwenye msimamo wa ovyo kama Lipumba.
Uislamu hauhusiki na character ya mtu. Wasomi waislamu na wakristu wapo wengi wa hovyo- dini haikuwa misingi ya uhovyo wao
 
Lipumba na Slaa waliuuza upinzani 2015

Bila hivyo kungekuwa na safu hii ya uongozi 2015.

Rais - Lowassa
Waziri mkuu - Mbowe
Waziri wa Fedha- Lipumba
Waziri mambo ya ndani - Slaa
Waziri wa katiba na sheria - Lissu
Waziri TAMISEMI - Halima mdee

The rest is history
Ingekuwa nchi ya ovyo mno kwasababu hakuna watu wezi kama watu wa kaskazini
 
Back
Top Bottom