Lipumba nimedharau tangu alipotumiwa kuivuruga Cuf. hakuna msomi muislam mwenye msimamo wa ovyo kama Lipumba.Mwenyekiti wa CUF prof Lipumba ametoa ripoti ya baraza la wazee wa chama hicho waliokaa hivi karibuni na kuelezea kuwa wanasikitishwa na ukuaji wa kasi wa deni la taifa na inaelekea Rais Samia anampiku Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa u Vasco dagama wa kusafiri nje ya nchi kukopa kwa kisingizio cha kufungua nchi!
Poa poa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.Lipumba nimedharau tangu alipotumiwa kuivuruga Cuf. hakuna msomi muislam mwenye msimamo wa ovyo kama Lipumba.
Lipumba nimedharau tangu alipotumiwa kuivuruga Cuf. hakuna msomi muislam mwenye msimamo wa ovyo kama Lipumba.
Je, una maoni gani kwa alichosema Lipumba. Usilete topic nyingine wakati hii hujaijadili.Lipumba nimedharau tangu alipotumiwa kuivuruga Cuf. hakuna msomi muislam mwenye msimamo wa ovyo kama Lipumba.
Ingependeza zaidi kama ungejadili hoja yake kuliko kumjadili yeye.Lipumba nimedharau tangu alipotumiwa kuivuruga Cuf. hakuna msomi muislam mwenye msimamo wa ovyo kama Lipumba.
Nikweli ni wa hivyo Kwa neno lako lakini kasema uongo?Lipumba nimedharau tangu alipotumiwa kuivuruga Cuf. hakuna msomi muislam mwenye msimamo wa ovyo kama Lipumba.
kwanza ajadiliwe yeye. Alhaj gani anaweza kufanya kama alivyofanya?Ingependeza zaidi kama ungejadili hoja yake kuliko kumjadili yeye.
Wewe una chuki binafsi tu na Lipumba.kwanza ajadiliwe yeye. Alhaj gani anaweza kufanya kama alivyofanya?
Pona kwanza malaria ndo uje umuelewe Lipumba . Lipumba ni mchumi msomi mwenye fikra huru . Hafungwi na itikadi za kidini .Lipumba nimedharau tangu alipotumiwa kuivuruga Cuf. hakuna msomi muislam mwenye msimamo wa ovyo kama Lipumba.
Uko nje ya MaadaLipumba nimedharau tangu alipotumiwa kuivuruga Cuf. hakuna msomi muislam mwenye msimamo wa ovyo kama Lipumba.
Lipumba akitumia misikiti kwa manufaa yake. Lipumba katika wasomi wa ovyo kutokea ni yeye. Prof gani duniani ametumiwa kama vile?Pona kwanza malaria ndo uje umuelewe Lipumba . Lipumba ni mchumi msomi mwenye fikra huru . Hafungwi na itikadi za kidini .
Haiingii akilini. Watanzania wanasota na wao wakitaka wawe wawekezaji nchini mwao walakini vipaumbele wanapatiwa eti Private Investors.
Kwani Private Investors ama Private partners ni lazima wawe ni Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k? Huo ni Ukoloni mamboleo 3.0
Yaani hawa wanatungiwa mpaka sheria, mfano PPP, wanashushiwa ama kuondolewa kodi ati ndio kutachochea Biashara na kukuza Uchumi. Hela zetu wenyewe za kodi. Tunashindwa nini kujiinua wenyewe?
Kufungua nchi mai fut. Anachosema Profesa ni sahihi-U Vasco Da Gama ni kuukaribisha Utumwa na Ukoloni mamboleo.
INASIKITISHA KWA KWELIMwenyekiti wa CUF prof Lipumba ametoa ripoti ya Baraza la Wazee wa chama hicho waliokaa hivi karibuni na kuelezea kuwa wanasikitishwa na ukuaji wa kasi wa deni la taifa na inaelekea Rais Samia anampiku Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa u Vasco dagama wa kusafiri nje ya nchi kukopa kwa kisingizio cha kufungua nchi!