Prof Lipumba: Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa

Prof Lipumba: Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa kwa nusu yake ambayo ni 23% lakini uchumi umekua kwa wastani wa asilimia 5.7 tu.

Kwa miaka minne iliyopita 2020-2023, asilimia ya uwekezaji ni wastani wa asilimia 46 lakini ukuaji wa uchumi ni asilimia 4.8 tu.Maana yake nikuwa uwekezaji nchini Tanzania umekuwa hauna tija na kama uwekezaji ungekuwa na tija uchumi wetu ungekua kwa zaidi ya asilimia 10 kwa mwaka."
 
Back
Top Bottom