Huenda umesahau. CUF waliunga mkono ujio wa Lowassa CDM na walimuweka Haji Duni kuwa mgombea mwenza aliyehamia CDM kwa lengo la maslahi ya CUF katika huo muunganiko.
Lipumba anazungumzia 2020, Lowassa aligombea 2015
..Lipumba hakuwepo kwenye Ukawa, alikuwa amemkimbia Lowassa.
..wanaopaswa kulalamika ni kina Juma Duni, Maulidi Mtulia, Magdalena Sakaya, Abdul Kambaya, na wengine ambao walibakia CUF wakati wa Ukawa.
..Ukawa ilikuwa na faida kwa CUF maana iliwabana CCM huku Tanganyika, na kupelekea CUF kupata ushindi wa wazi ktk uchaguzi wa Zanzibar.