Huenda umesahau. CUF waliunga mkono ujio wa Lowassa CDM na walimuweka Haji Duni kuwa mgombea mwenza aliyehamia CDM kwa lengo la maslahi ya CUF katika huo muunganiko.
Ameona haya kusema 2015 sababu hiyo ilimfanya kujitoa cuf na kukimbilia rwanda kabla ya kurudi na kuibukia ikulu shati lote mgongoni limoroa jasho na kuja kuiteka cuf na kuifanya mali yake akimpora maalimu seif!
Yaani Lipumba anacheza mindgame za kijinga, cdm hawataki kujiunga naye, anadhani akisema hivyo cdm ndio wataona anafaa wambembeleze? Yeye aendelee kujiunga na ccm maana ndio watu wake.