Prof Lipumba umevuna ulichopanda kwa Maalim Seif. Ulimsaliti pakubwa. Nenda Rwanda tena

Prof Lipumba umevuna ulichopanda kwa Maalim Seif. Ulimsaliti pakubwa. Nenda Rwanda tena

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Ulimsaliti Maalim Seif kwa vipande vya fedha. Umevuna ulichopanda.

Umeondoka kwa aibu kubwa!

Umebakiza kufa tu duniani!

THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM.
BADO ADHABU YA KABURI INAKUSUBIRI
 
Ulimsaliti Maalim Seif kwa vipande vya fedha. Umevuna ulichopanda.

Umeondoka kwa aibu kubwa!

Umebakiza kufa tu duniani!

THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM.
BADO ADHABU YA KABURI INAKUSUBIRI
wasaliti wakuu wa Tanzania ambao ni vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi wako korokoroni wananyea debe tu saivi :1Head:
 
Lipumba alichofanya mwaka 2015 alisaliti upinzani dakika za mwisho..achq naye yamkute..baadaye akawafitini akina Maalim seifu hadi wakakimbia chama...sababu yote ikiwa lipumba kutumikia mfumo
 
Chuki zilizovuka mipaka
Ila chuki humdhuru zaidi anaeihifadhi
Rejea chadema vs mtatiro
 
Ulimsaliti Maalim Seif kwa vipande vya fedha. Umevuna ulichopanda.

Umeondoka kwa aibu kubwa!

Umebakiza kufa tu duniani!

THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM.
BADO ADHABU YA KABURI INAKUSUBIRI
Seif na mbowe walikula hela za mamvi Ili apewe tiketi
Seif alimpora chama mapalala
 
Aibu aliyovuna Lipumba ni kama aibu aliyovuna Mbowe. Walikataa kuondoka kwa heshima wameondoka kwa aibu.
 
Back
Top Bottom