Prof. Lumumba: Hongera Magufuli, hongera Watanzania

Prof. Lumumba: Hongera Magufuli, hongera Watanzania

Kwahiyo huruma yako kwa watanzania huzidi na hasira yako huwaka zaidi pale mtu anapompongeza Magufuli hadi unatumia maneno Kama "hili li baba...... Mizee kama hii" ?
Hakuna hasira ni ukweli - leo unatuambia msimamao huu, kesho huu - sisi wananchi tukueleweje sasa hasa tukizingatia wewe ni mzee msomi na mwenye uzoefu mkubwa kwenye mambo ya siasa

Shika msimamo mmoja thats it, Siasa ni msimamo na turufu ya mwanasiasa ni msimamo wake - hata Mwalimu aliwaita wanasiasa kama hawa "Malaya Malaya" yani leo msimamo huu, kesho huu
 
Punguza dharau, yaani Director wa Kenya Law School unashaka na Elimu yake au hawana uwezo wa kupata professor kuongoza Law School, haha haha haha. Au ndio mipasho ya Facebook.
Mbona Lugola alikuwa Waziri wa Mambo ya ndani ! Vyeo havimaanishi chochote kwenye utimamu wa mtu , hatuna shaka na Elimu ya Lumumba bali hofu yetu ni kwenye utimamu wa kichwa chake
 
Back
Top Bottom