Kenya 2022 Prof. Lumumba kama Mwl aliyepishana na gari ya mshahara

Kenya 2022 General Election
AZIMIO baada ya kuteua Martha Karua kama Dp wa RAO , tayari nimeanza kupata shaka sana na kama kweli hustlers wataweza kutoboa?
 
Hii hainatofauti na kwetu jumlisha yote uone
Haina tofauti kwa idadi ya miaka, lakini ina tofauti kwa content na objectives ukisoma vizuri hiyo image. Hata wao 233333 inazidi 844 kwa mwaka mmoja tu. Sisi mfumo wetu kwa miaka mingi umekuwa wa kukariri kufaulu mitihani tu.
 
Jamaa wapo mbali sn
 
AZIMIO baada ya kuteua Martha Karua kama Dp wa RAO , tayari nimeanza kupata shaka sana na kama kweli hustlers wataweza kutoboa?
Kumbe umeoona vizuri mkuu, wapiga kura-za-uchungu za kuleta mabadiliko ni wanawake, hivyo wanawake wote wa Kenya wanatafuta coalition yenye mwanamke ili wapate ukombozi kwa sababu wanawake ndiyo hustlers wazuri kuliko wanaume tena wanawake ndiyo wahanga wa mabalaa yote ya sayari hii kuanzia ukame, njaa, vita, maradhi nk.

Lkn mkuu, EAC yote wanawake wameishapata high profile positions kasoro Kenya tu;

Tz SSH - VC na President.

UG Specioza Kazibwe 6th VC.

RW Agathe Uwilingiyimana PM na Acting President 1993 kabla ya kuwa assassinated 1994.

SS Jemma Nunu Kumba - National Assembly Speaker.

BI Sylvie Kinigi Mtusi - PM.

DRC Jeanine Mabunda National Assembly Speaker.

Why not Martha Karua for Kenya this time around?

Raila ondoa mfumo dume Kenya.
 
Natamani Raila ashinde Uchaguzi, Raila ni mvumilivu vua kutosha hivyo hana kibri na madharau kama yaRuto
 
Iko wazi Raila anachukua kijiti
Kalonzo Musyoka atarudi tu kubembeleza ugali Azimio. Ni kivuruge yule. 2013 Raila alimwambia waungane dhidi ya Uhuru akagoma akifikiri Uhuru atampa mfupa (maana pensheni ya U-VP wakati wa PNU) haimtoshi kuendesha chama. Raila akamwambia kwani mshahara wa U-VP ulikuwa unapokea shs ngapi? Akataja, Raila akasema anampa taslimu kwa miaka mitano ili aje Rainbow, akachukuwa mkwanja na kutokomea, sasa hii ni mara ya pili anamsaliti Raila.
 
broo huko deep sana nimeipenda hii na yule mzee anataka kufanya mabadiliko makubwa sana Kenya wakenya wampe kura huyu mzee waachane na mjanja mjanja yule mwingine
 
martha karua na yeye ni mjaluo naomba kujuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…