Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hizo trillion 8+ ni mapato ya bandari pekee au na TRA?Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam, kumeleta mafanikio mbalimbali yakiwemo kuongezeka kwa mapato yatokanayo na Kodi ya Forodha kutokana na shughuli za kibandari, ambapo katika kipindi cha Julai, 2024 hadi Februari, 2025 jumla ya Tsh. trilioni 8.26 zimekusanywa sawa na ongezeko la Tsh. trillion 1.18 ikilinganishwa na Tsh. trilioni 7.08 zilizokusanywa katika kipindi kama hicho kwa mwaka 2023/24 kabla ya kushirikishwa kwa Waendeshaji binafsi katika bandari hiyo.
Akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma leo May 15,2025 Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema "Faida nyingine ni kupungua kwa gharama za uendeshaji wa Bandari ya Dar es salaam kutoka Tsh. bilioni 975.01 hadi kufikia Tsh. bilioni 685.16 sawa na punguzo la asilimia 30, kupungua kwa muda wa kusubiri meli nangani kutoka wastani wa siku 46 hadi wastani wa siku saba kwa meli za mizigo mchanganyiko na kichele na meli za makasha gatini kutoka wastani wa siku 10 hadi siku tatu"
"Faida nyingine ya uwekezaji huo ni kuongezeka kwa wastani wa shehena ya makasha inayohudumiwa kwa mwezi kutoka makasha (TEUs) 17,000 hadi makasha (TEUs) 25,000 sawa na ongezeko la asilimia 47, kwa ujumla hatua hii ya ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika kuendeleza na kuendesha bandari nchini, umechangia kufikiwa mapema kwa lengo la Mpango Kabambe wa TPA wa miaka 20 (2021/22 – 2044/45) ulioweka wa kuhudumia tani milioni 30 za shehena ifikapo mwaka 2029/30"
"Hata hivyo, matokeo ya uendeshaji wa bandari hadi kufikia mwezi Machi, 2025 tayari ufanisi wa uhudumiaji wa shehena wa bandari zote nchini umefikia tani milioni 27.55 na kwa mwenendo huu lengo la tani milioni 30 litafikiwa mapema sana kabla ya muda uliowekwa"
Wakikujibu nistue mkuuHizo trillion 8+ ni mapato ya bandari pekee au na TRA?
Unaelewa maana ya Forodha..?Hizo trillion 8+ ni mapato ya bandari pekee au na TRA?
Nyinyi zanzibar sawa mmeuza Tanganyika yetu, lakini kuna siku itarudi johnthebaptistSerikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam, kumeleta mafanikio mbalimbali yakiwemo kuongezeka kwa mapato yatokanayo na Kodi ya Forodha kutokana na shughuli za kibandari, ambapo katika kipindi cha Julai, 2024 hadi Februari, 2025 jumla ya Tsh. trilioni 8.26 zimekusanywa sawa na ongezeko la Tsh. trillion 1.18 ikilinganishwa na Tsh. trilioni 7.08 zilizokusanywa katika kipindi kama hicho kwa mwaka 2023/24 kabla ya kushirikishwa kwa Waendeshaji binafsi katika bandari hiyo.
Akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma leo May 15,2025 Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema "Faida nyingine ni kupungua kwa gharama za uendeshaji wa Bandari ya Dar es salaam kutoka Tsh. bilioni 975.01 hadi kufikia Tsh. bilioni 685.16 sawa na punguzo la asilimia 30, kupungua kwa muda wa kusubiri meli nangani kutoka wastani wa siku 46 hadi wastani wa siku saba kwa meli za mizigo mchanganyiko na kichele na meli za makasha gatini kutoka wastani wa siku 10 hadi siku tatu"
"Faida nyingine ya uwekezaji huo ni kuongezeka kwa wastani wa shehena ya makasha inayohudumiwa kwa mwezi kutoka makasha (TEUs) 17,000 hadi makasha (TEUs) 25,000 sawa na ongezeko la asilimia 47, kwa ujumla hatua hii ya ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika kuendeleza na kuendesha bandari nchini, umechangia kufikiwa mapema kwa lengo la Mpango Kabambe wa TPA wa miaka 20 (2021/22 – 2044/45) ulioweka wa kuhudumia tani milioni 30 za shehena ifikapo mwaka 2029/30"
"Hata hivyo, matokeo ya uendeshaji wa bandari hadi kufikia mwezi Machi, 2025 tayari ufanisi wa uhudumiaji wa shehena wa bandari zote nchini umefikia tani milioni 27.55 na kwa mwenendo huu lengo la tani milioni 30 litafikiwa mapema sana kabla ya muda uliowekwa"
Hayo ni kweli kabisa lakini nyie mnaotaka kuungishwa unanihino. Yaani Nahitaji Serikali ya Tanzania itoe tangazo kuwapelekea wabelgiji kuwa ipo tayari na mstari wa sita ili lile linalowahusu walengwa ,waje wawachukuwe.Nyinyi zanzibar sawa mmeuza Tanganyika yetu, lakini kuna siku itarudi johnthebaptist
IRR = 16% tumeshindwa hadi aje mgeni? Mgeni apewe kama anaweza kuleta 50 +Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam, kumeleta mafanikio mbalimbali yakiwemo kuongezeka kwa mapato yatokanayo na Kodi ya Forodha kutokana na shughuli za kibandari, ambapo katika kipindi cha Julai, 2024 hadi Februari, 2025 jumla ya Tsh. trilioni 8.26 zimekusanywa sawa na ongezeko la Tsh. trillion 1.18 ikilinganishwa na Tsh. trilioni 7.08 zilizokusanywa katika kipindi kama hicho kwa mwaka 2023/24 kabla ya kushirikishwa kwa Waendeshaji binafsi katika bandari hiyo.
Akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma leo May 15,2025 Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema "Faida nyingine ni kupungua kwa gharama za uendeshaji wa Bandari ya Dar es salaam kutoka Tsh. bilioni 975.01 hadi kufikia Tsh. bilioni 685.16 sawa na punguzo la asilimia 30, kupungua kwa muda wa kusubiri meli nangani kutoka wastani wa siku 46 hadi wastani wa siku saba kwa meli za mizigo mchanganyiko na kichele na meli za makasha gatini kutoka wastani wa siku 10 hadi siku tatu"
"Faida nyingine ya uwekezaji huo ni kuongezeka kwa wastani wa shehena ya makasha inayohudumiwa kwa mwezi kutoka makasha (TEUs) 17,000 hadi makasha (TEUs) 25,000 sawa na ongezeko la asilimia 47, kwa ujumla hatua hii ya ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika kuendeleza na kuendesha bandari nchini, umechangia kufikiwa mapema kwa lengo la Mpango Kabambe wa TPA wa miaka 20 (2021/22 – 2044/45) ulioweka wa kuhudumia tani milioni 30 za shehena ifikapo mwaka 2029/30"
"Hata hivyo, matokeo ya uendeshaji wa bandari hadi kufikia mwezi Machi, 2025 tayari ufanisi wa uhudumiaji wa shehena wa bandari zote nchini umefikia tani milioni 27.55 na kwa mwenendo huu lengo la tani milioni 30 litafikiwa mapema sana kabla ya muda uliowekwa"
Okay sasa hayo 16% si ingeweza kupatikana kwa usimamizi mzuri tu wa mapato? Ikiwa mtu kawekeza tulitarajia aje na report ya 100% ongezeko.Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam, kumeleta mafanikio mbalimbali yakiwemo kuongezeka kwa mapato yatokanayo na Kodi ya Forodha kutokana na shughuli za kibandari, ambapo katika kipindi cha Julai, 2024 hadi Februari, 2025 jumla ya Tsh. trilioni 8.26 zimekusanywa sawa na ongezeko la Tsh. trillion 1.18 ikilinganishwa na Tsh. trilioni 7.08 zilizokusanywa katika kipindi kama hicho kwa mwaka 2023/24 kabla ya kushirikishwa kwa Waendeshaji binafsi katika bandari hiyo.
Akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma leo May 15,2025 Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema "Faida nyingine ni kupungua kwa gharama za uendeshaji wa Bandari ya Dar es salaam kutoka Tsh. bilioni 975.01 hadi kufikia Tsh. bilioni 685.16 sawa na punguzo la asilimia 30, kupungua kwa muda wa kusubiri meli nangani kutoka wastani wa siku 46 hadi wastani wa siku saba kwa meli za mizigo mchanganyiko na kichele na meli za makasha gatini kutoka wastani wa siku 10 hadi siku tatu"
"Faida nyingine ya uwekezaji huo ni kuongezeka kwa wastani wa shehena ya makasha inayohudumiwa kwa mwezi kutoka makasha (TEUs) 17,000 hadi makasha (TEUs) 25,000 sawa na ongezeko la asilimia 47, kwa ujumla hatua hii ya ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika kuendeleza na kuendesha bandari nchini, umechangia kufikiwa mapema kwa lengo la Mpango Kabambe wa TPA wa miaka 20 (2021/22 – 2044/45) ulioweka wa kuhudumia tani milioni 30 za shehena ifikapo mwaka 2029/30"
"Hata hivyo, matokeo ya uendeshaji wa bandari hadi kufikia mwezi Machi, 2025 tayari ufanisi wa uhudumiaji wa shehena wa bandari zote nchini umefikia tani milioni 27.55 na kwa mwenendo huu lengo la tani milioni 30 litafikiwa mapema sana kabla ya muda uliowekwa"
Mbona pesa mtaani hakuna wee Mzee wa NgwasumaSerikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam, kumeleta mafanikio mbalimbali yakiwemo kuongezeka kwa mapato yatokanayo na Kodi ya Forodha kutokana na shughuli za kibandari, ambapo katika kipindi cha Julai, 2024 hadi Februari, 2025 jumla ya Tsh. trilioni 8.26 zimekusanywa sawa na ongezeko la Tsh. trillion 1.18 ikilinganishwa na Tsh. trilioni 7.08 zilizokusanywa katika kipindi kama hicho kwa mwaka 2023/24 kabla ya kushirikishwa kwa Waendeshaji binafsi katika bandari hiyo.
Akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma leo May 15,2025 Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema "Faida nyingine ni kupungua kwa gharama za uendeshaji wa Bandari ya Dar es salaam kutoka Tsh. bilioni 975.01 hadi kufikia Tsh. bilioni 685.16 sawa na punguzo la asilimia 30, kupungua kwa muda wa kusubiri meli nangani kutoka wastani wa siku 46 hadi wastani wa siku saba kwa meli za mizigo mchanganyiko na kichele na meli za makasha gatini kutoka wastani wa siku 10 hadi siku tatu"
"Faida nyingine ya uwekezaji huo ni kuongezeka kwa wastani wa shehena ya makasha inayohudumiwa kwa mwezi kutoka makasha (TEUs) 17,000 hadi makasha (TEUs) 25,000 sawa na ongezeko la asilimia 47, kwa ujumla hatua hii ya ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika kuendeleza na kuendesha bandari nchini, umechangia kufikiwa mapema kwa lengo la Mpango Kabambe wa TPA wa miaka 20 (2021/22 – 2044/45) ulioweka wa kuhudumia tani milioni 30 za shehena ifikapo mwaka 2029/30"
"Hata hivyo, matokeo ya uendeshaji wa bandari hadi kufikia mwezi Machi, 2025 tayari ufanisi wa uhudumiaji wa shehena wa bandari zote nchini umefikia tani milioni 27.55 na kwa mwenendo huu lengo la tani milioni 30 litafikiwa mapema sana kabla ya muda uliowekwa"
Hii ni analysis ya kichawa!Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam, kumeleta mafanikio mbalimbali yakiwemo kuongezeka kwa mapato yatokanayo na Kodi ya Forodha kutokana na shughuli za kibandari, ambapo katika kipindi cha Julai, 2024 hadi Februari, 2025 jumla ya Tsh. trilioni 8.26 zimekusanywa sawa na ongezeko la Tsh. trillion 1.18 ikilinganishwa na Tsh. trilioni 7.08 zilizokusanywa katika kipindi kama hicho kwa mwaka 2023/24 kabla ya kushirikishwa kwa Waendeshaji binafsi katika bandari hiyo.
Akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma leo May 15,2025 Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema "Faida nyingine ni kupungua kwa gharama za uendeshaji wa Bandari ya Dar es salaam kutoka Tsh. bilioni 975.01 hadi kufikia Tsh. bilioni 685.16 sawa na punguzo la asilimia 30, kupungua kwa muda wa kusubiri meli nangani kutoka wastani wa siku 46 hadi wastani wa siku saba kwa meli za mizigo mchanganyiko na kichele na meli za makasha gatini kutoka wastani wa siku 10 hadi siku tatu"
"Faida nyingine ya uwekezaji huo ni kuongezeka kwa wastani wa shehena ya makasha inayohudumiwa kwa mwezi kutoka makasha (TEUs) 17,000 hadi makasha (TEUs) 25,000 sawa na ongezeko la asilimia 47, kwa ujumla hatua hii ya ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika kuendeleza na kuendesha bandari nchini, umechangia kufikiwa mapema kwa lengo la Mpango Kabambe wa TPA wa miaka 20 (2021/22 – 2044/45) ulioweka wa kuhudumia tani milioni 30 za shehena ifikapo mwaka 2029/30"
"Hata hivyo, matokeo ya uendeshaji wa bandari hadi kufikia mwezi Machi, 2025 tayari ufanisi wa uhudumiaji wa shehena wa bandari zote nchini umefikia tani milioni 27.55 na kwa mwenendo huu lengo la tani milioni 30 litafikiwa mapema sana kabla ya muda uliowekwa"
Natamani kesho mtu afungue kesi hii mahakama ya The HollandHii ni analysis ya kichawa!
Kwa kawaida, ongezeko ni combined effect ya interaction ya multiple factors. Kitu gani kinathibitisha kwamba uwekezaji wa DP World pekee yake ndio uliosababisha hilo ongezeko? Ongezeko bila uwekezaji wa DP World lilipaswa kuwa asilimia ngapi?