#COVID19 Prof. Makubi: Wananchi wote wanaofika kuomba huduma wasinyimwe Chanjo

Khadija Mtalame

Senior Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
185
Reaction score
715
CHANJO SASA RASMI KWA WATU WOTE WA MIAKA YOTE (kuanzia watoto mpaka wazee)

Zoezi hili linaanza kesho tar 12 baada ya kugundua kwamba vijana wengi wanahitaji chanjo.

tangazo hili limetolewa na waziri wa afya leo(na kuletwa hapa na Mimi binti.Khadija)


DOROTHY GWAJIMA(DR)


Your browser is not able to display this video.
 
Watahangaika Sana ila Samia harudi 2025 Na mawaziri wapigania chanjo akina Mulamula , Gwajima na yeyote wajiandae

Watanzania wengi hatutaki kuwa test tube ya chanjo ya wazungu.
 
Nani achanjwe?

Yani wachawi watuchanje usiku na nyie mtake kutuchanja mchana?

Mtajua na chanjo zenu... Kama mlihongwa itabidi mpambane na hali zenu
 
Chanjo ipi, booster ama nyingine?

Sasa hivi Dunia inazungumzia booster vaccine na sio hizi tena. Hizi zilishapitwa na wakati watu wanatakiwa kuchanjwa version mpya.
 
Hakuna jipya hapo..serikali imeona chanjo mwitikio ni mdogo..na kuogopa kufikia lengo la uchanjaji..hivyo kuharibika kwa dozi..wameona wafungulie goli tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tulindieni watoto huko mashuleni, hawa watu hawaaminiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…