Prof. Malima Alivyokabili Njama Dhidi Yake Ndani ya Bunge la Tanzania

Prof. Malima Alivyokabili Njama Dhidi Yake Ndani ya Bunge la Tanzania

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
Kuhusu Chuki na Kuzomewa kwa Profesa Malima Bungeni
  • "...Malima watamzomea kadri anavyoweza lakini kama atarejea yeye kujibu hautastarehe na nafsi yako...".
Kuhusu Maswali ya Bajeti Kuibiwa na Kufananishwa na Wanafunzi Walioiba Mtihani
Wakati maadui zake walipoiba hotuba yake ya bajeti na kuandaa maswali ya kumfanyia njama bungeni, Profesa Malima alijibu akisema:
  • "...mbona hawa wanauliza maswali kama vile wanafunzi walioa mtihani wakakaa kufundishana kujibu mtihani ulioibiwa alafu siku ya mtihani sasa wakajibu yale maswali...".
Ripoti ya Malima Kuhusu Kudhulumiwa kwa Waislamu Kwenye Elimu
Msemaji anaeleza kosa kubwa lililomponza Profesa Malima na kumfanya apigwe vita vikali:
  • "Kosa lake Malima kasema kamwandikia taarifa rais mwinyi kumwambia amekuta ndani ya wizara ya elimu kuna njama mpango ukienda kwa miaka mingi ya kuwadhalumu vijana wa kiislamu elimu wao wasizidi 10% huko juu".
Mwalimu Nyerere Akiwakemea Maaskofu Kumtetea Malima
Wakati wa kikao cha halmashauri kuu ya CCM huko Dodoma, Mwalimu Nyerere alisimama kumtetea Malima dhidi ya wale waliotaka kumhoji kwa hasira kuhusu ripoti ya elimu:
  • "...waambieni maaskofu waambieni maaskofu kuwa hali imebadilika wasidhani kama wanaweza kuendesha nchi hii kama wanavyotaka wao...".
Msimamo Thabiti wa Malima Kukataa Udhalilishaji
Kuelekea uchaguzi wa mwaka 1995, wakati baadhi ya mawaziri Waislamu walipoandika barua za uoga kukataa kugombea urais ili kujiepusha na shutuma za "siasa kali", Malima alikataa kabisa upuuzi huo akisema:
  • "...hapana nyim msiweke jina langu hapana haja hapana haja hapana haja...".


View: https://youtu.be/grSHqWi3W1I?si=vYf-6rXyyXYOyTKj
 
Back
Top Bottom