Pre GE2025 Prof. Mark Mwandosya Makamu wa Raisi November 2025

Pre GE2025 Prof. Mark Mwandosya Makamu wa Raisi November 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi 2025 atakuwa na miaka mingapi Mzee Mwandosya?

Tuache ujinga wandugu. Tuungane kutengeneza mifumo na katiba imara ambayo kila atakayechaguliwa analazimika kuifuata! Kwa mtindo huu itakuwa tunapiga maktaim tu.

Akiingia Kikwete anafungua uchumi kwa kutegemea nchi za nje, akiingia Magufuli anapiga marufuku uchumi wa kutegemea nje na anafungua uchumi wa ndani, akiinga mama Samia anapiga marufuku uchumi wa ndani anafungua wa nje!

Hivi tutasogea kweli?
Katiba sio hoja sana uwadilifu ndugu na umaduni mbovu wa kulindana
 
Biden ana miaka 81 anaongoza taifa kubwa la Marekani, Trump ana 79 anagombea Urais
Mfumo ni uwadilifu ,uwajibikaji, na sio katiba ,kama watu wake hawana uwadilifu ,hiyo katiba ni kakitabu tu. Lazima elimu ya uwadilifu itolewe vzr.
 
Back
Top Bottom