Hivi 2025 atakuwa na miaka mingapi Mzee Mwandosya?
Tuache ujinga wandugu. Tuungane kutengeneza mifumo na katiba imara ambayo kila atakayechaguliwa analazimika kuifuata! Kwa mtindo huu itakuwa tunapiga maktaim tu.
Akiingia Kikwete anafungua uchumi kwa kutegemea nchi za nje, akiingia Magufuli anapiga marufuku uchumi wa kutegemea nje na anafungua uchumi wa ndani, akiinga mama Samia anapiga marufuku uchumi wa ndani anafungua wa nje!
Hivi tutasogea kweli?