Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,086
- 2,823
Mlimpa profesa wenu mitihani mkamwona “alikuwa kichwa” ? Mlimshindanisha na nani ?Alikuwa kichwa wakati ule tukiwa pale hill, apumzike pema.
Siku zote kuna wow factor ya mwalimu kwa mwanafunzi. Wanafunzi wa Prof. Kabudi wanamu admire kama mtume, kaja kwenye jamii akawa a public laughing stock.
hawa kina Luhanga siwezi kuwasifia hata siku moja. Amefanya nini kwenye u rais wake wa chuo ? UDSM ameiacha kama alivyoikuta, such a cesspool.
Kuna ma degree ya chupi, mabweni na ma vyoo ni kama mabanda ya nguruwe pori, ranking ya chuo kwa Afrika is all but rock bottom, plagiarism is off the charts, ma profesa wana disco watu na kuchelewesha masters na PhD zao as if wao ni wakali sana academically wakati hakuna chochote wanachoifanyia nchi, hakuna research za maana, hakuna nothing…
Luhanga hakuwa mwanafunzi, alikuwa Vice Chancellor, alikuwa in charge wa chuo, usinambie alikuwa anajua physics and linguistics, nambie alifanya nini as Vice President.