Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Hapo UDSM alikuwa poa sana ila tulimchachafya na migomo.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi 2006, kilichotokea jioni ya leo tarehe 16.09. 2021. Tunatoa pole kwa familia, Chuo chetu na Tanzania kwa ujumla. Taarifa zaidi tutaendelea kujulishana. Tumwombee apumzike kwa Amani. Amina.
Dkt. Dotto P. Kuhenga, Mratibu wa Mawasiliano na Habari, UDSM.
Profesa Matthew Luhanga alikuwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe.
=======
Professor Matthew Luhanga ndie Mwanasayansi wa Zama hizi mwenye historia iliyotukuka duniani
Apumzike kwa amani Profesa wangu aliyenipokea Udsm miaka hiyo pamoja na wasaidizi wake akina Profesa Mayunga Nkunya, na wengineo wengi.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi 2006, kilichotokea jioni ya leo tarehe 16.09. 2021. Tunatoa pole kwa familia, Chuo chetu na Tanzania kwa ujumla. Taarifa zaidi tutaendelea kujulishana. Tumwombee apumzike kwa Amani. Amina.
Dkt. Dotto P. Kuhenga, Mratibu wa Mawasiliano na Habari, UDSM.
Profesa Matthew Luhanga alikuwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe.
=======
Professor Matthew Luhanga ndie Mwanasayansi wa Zama hizi mwenye historia iliyotukuka duniani
Spot on ni miaka hiyo. Prof Nkunya Poti wangu na akina Mshana??Apumzike kwa amani Profesa wangu aliyenipokea Udsm miaka hiyo pamoja na wasaidizi wake akina Profesa Mayunga Nkunya, na wengineo wengi.
Nayakumbuka sana yale maneno yake ya busara wakati wa kutukaribisha First Year kwa kutuambia "Graduate with A's and Not with AIDS". Haya maneno yalikuwa ni machache ila yana uzito mkubwa hasa kwa sisi First Year tuliotokea vijijini.