Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?

Huyu wa sasa sio kabisa....na hata washauri wanashindwa kumshape.

Ndio maana umekuja na justification ndefu.

Hata Msekwa alikataa hoja ya Nkamia kwa kusema kuwa miaka kumi inatosha kuvumilia a none presidential person (kama huyu wa sasa)
Hata Msekwa alikosea kusema miaka 10, mtu akivumiliwa sana ili kuleta amani nchi basi atavumiliwa hiyo mitano kisha atasukumiziwa nje kama alivyo sukumiziwa ndani. Na huo ni utaratibu tuu ulioko kikatiba.
Hatutaki kuwa kama Zimbabwe kwamba mpaka wajeda waseme kaa pembeni. Umeshindwa timua zako, there are more than 50 milion people in the country kweli hakuna aliye bora? Hata paskal Mayalla tunaweza kumsukumizia walao kwa mwezi mmoja tumuone uwezo wake.
(Joke)
 

Mkuu alisema wasomi ndio wametufikisha hapa tulipo, ni pamoja na hao hao unaowaita Presidential Material vipi utadharau kwamba watu wa Pemba si waelewa ni watu wa vijiweni muda wote lakini akaenda mbali zaidi kwa upande wa Zanzibar akataja na pale darajani Unguja kwamba ni watu wa kupiga soga na wasio na mtazamo mzuri na uelewa wa mambo.

Hichi ni kiashiria tosha cha ubaguzi wa kikanda kama alivyokuwa anajibu kwanini hakutolea mfano maeneo ya kule Tanganyika ambao ndio wapiga soga na vijiwe vingi zaidi kwa nchi ya Tanzania. Wanasema huyu ni Mpemba lakini sasa ameonyesha dhahiri kulewa madaraka na kuwatukana wapemba unafkiri akifika level ya kuwa sasa ni rais itakuwaje?
 
Seleman Jafo ndio Presidential Material, maana ni mtetezi wa wafanyakazi

TUCTA wameshindwa

FAO LA kujitoa Seleman Jafo alisaidia sana, Japo CCM wanazipenda hela za wafanyakazi

Katika Bunge linaloendelea, Naibu Spika amethibisha kuwa Sheria iliyotungwa na Bunge inakataza FAO la Kujitoa

--TAMKO ZITO Fao la Kujitoa----Soma zaidi ....Tamko zito fao la kujitoa

TUCTA wanayo hii habari?

Wafanyakazi mnayo hii habari?

Watanzania tuendelee kulala

Wacha Pesa zijenge viwanda, baada ya miaka 10 vife

Hivi Watanzania wenzangu...Sababu zipi ziliua viwanda?

Je...Bidhaa za Tanzania zina ubora wa kutosha?

Mfano..Kuna Siagi (butter) Tanzania?
 
Labda huyu muombee ajaribu 2020 afanikiwe akufikirie
Ila Pombe ameshakufuta hakutoi kabsaa mpaka amalize. Amekustukia misemo yako ya kuzunguka.
 
Na Makonda naye atafaa sana sanaaaaa.. tena katika kuendeleza hapa kazi tu.. na pia bila kumsahau Majaliwa

Hawa wawili wakishika vyeo vya juu baada ya 2025 nchi itazidi kunoga.
Unazani Pascal Mayalla hajamuona mumeo bashitte?
Anajua huyo ni [emoji778] ndo mana kapotezea maana hata ujumbe wa 10x10 ni shida kumpa.
Bora dr. shika atafaa zaid
ITAPENDEZZA SANA[emoji1]
 
Mkuu una tatizo la uelewa


Mbarawa alikuwa anajibu swali la mbunge kutoka Pemba huko saada mkuya ,ndio akasema mawazo hayo wangetoa wakazi wa Pemba vijijini au wapiga soga wa darajani ,hoja ilikuwa ni kazi za ttcl za huko znz wapewe wazenji tu ,


Sasa atolee mfano wa sehemu za Tanganyika za nn sasa hio hoja ingetolewa na mbunge wa bara kuwa kazi za ttcl bara wapewe wabara tu basi angetolea mifano ya watu wa vijijini chato au wapiga soga wa shoe shine


Sijaona ubaguzi aliouonyesha prof
 
Mkuu naona mbio za 2020 Zanzibar zimeanza.... Hapa Majaliwa, Kule Mwinyi, hapa Nahodha, kule Pereira. Hapa Masauni, kule Mama Amina
 
Yuko vizuri kwa kwel yan hata akiongea unapata clear message kwamba ni nani
Ila wengine wakiongea ...nisiseme tu

clear message ipi, zaidi tumeshuhudia akiwadharau wa pemba kwamba ni watu wa vijijini na vijiweni akataja na kule zanzibar darajani kwamba ni wapiga soga tu, yeye ndio anajua zaidi kwanini hakutolea mfano Tanganyika, kwanini hujifunzi kwamba huyu jamaa ni mbaguzi wa kikanda na anadharau hata nyumbani kwao na watu wa kwao yeye ambako anajinasibu kwamba ndiko alikotoka? unamkadiria kwa level ya rais unajua atakujakuwafanya nini wazanzibari?
 
kisiasa 2025 ni mbali sana; lolote linaweza tokea na kubadili upepo wa siasa kabisa.
 
Samahan dada angu, ivi nitawezaje kukublock yaani nisiwe naona post zako kabisa maana kila unachoandika ni upuuzi na ujinga tu!! Mods tafadhali msaada kwenye tuta!!

Eeeeeeeeeeeh
Ungetaka ungeshafanya hilo kuna njia moja humu.. ha ha haaaaaaa upinzani bomu limekujaaa
 
Umeshaanza kupiga ramli wewe, JPM ulianza mzaha mzaha hatimaye. Ngoja tusubiri 2025. Wazanzibari wananiudhi kitu kimoja, UKARIMU uliopitiliza.
 
Umelipwa bei gani ? Wewe ni mmoja wa waliowadanganya Watanzania na kuwaingiza mkenge kwamba Magufuli anafaa , hadi sasa wanatukanwa kila siku na kulimia meno , sasa sema ukweli wako na Mungu akusamehe , Magufuli anafaa kweli kama ulivyodanganya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…