Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?

Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?

Mkuu una tatizo la uelewa


Mbarawa alikuwa anajibu swali la mbunge kutoka Pemba huko saada mkuya ,ndio akasema mawazo hayo wangetoa wakazi wa Pemba vijijini au wapiga soga wa darajani ,hoja ilikuwa ni kazi za ttcl za huko znz wapewe wazenji tu ,


Sasa atolee mfano wa sehemu za Tanganyika za nn sasa hio hoja ingetolewa na mbunge wa bara kuwa kazi za ttcl bara wapewe wabara tu basi angetolea mifano ya watu wa vijijini chato au wapiga soga wa shoe shine


Sijaona ubaguzi aliouonyesha prof

Ivi katika jibu lake hakukua na uwezekano kukwepwa kutaja hayo maneno ya kebehi na dharau kuhusu watu wa vijijini kule pemba na darajani kule unguja?? mifano ni lazima iwe ya aina ile tu? otherwise na wewe ni poor thinker

huyu jamaa amedharau kwa kiwango kikubwa sana watu wa Zanzibar hasa Pemba kwamba kwa akili yake vile ni visiwa vidogo lakini havina watu ambao wanaakili kubwa zaidi ya kuona mbali zaidi pia wenye uelewa wa mambo. Kwanini majibu yake hayakumlenga Sada tu kama Sada. kwanini afananishe na watu wa vijiweni kule Pemba ama darajani Unguja??

Sasa huu ndio ubaguzi na dharau ya kiwango cha juu zaidi kwa wazanzibari ambao mhe ndiko anakotokea. Na sasa Tz hawa ndio marais ambao mnazalisha wenye viburi na kujiona wao ndio wenye mawazo na mtazamo na kujua kila kitu na sasa ndio tunafika hapa wenye akili finyu wanaona ni sawa tu kila kitu kiko sawa.
 
Mkimwandaa mtaanza KUMPANGIA.......watu hawataki kupangiwa.( just joking). Hoja ni nzuri lakini ni ya upande mmoja, weka orodha ya watu ndani ya chama tawala na nje ya chama tawala tuwajadili.
 
Mbarawa is good for Presidency but nazani ni kwa Zenji,kama wazee wa mapinduzi hawatoangalia upemba wake! Kwa huko bara (Union Govt) nazani wana Chimwaga walishapitisha resolution kwamba wazenji nafasi yetu ndani ya SMT ni Umakamo wa Rais tu milele...

Wabara sijui wanaonaje kuongozwa na Mzanzibari aloo, Mwinyi nazani ilikuwa ni lisilo budi tu,na nazani kilichombeba zaidi ni kuwa sio Mzanzibari pure (kindakindaki)..but what I believe time will tell.
 
Ivi katika jibu lake hakukua na uwezekano kukwepwa kutaja hayo maneno ya kebehi na dharau kuhusu watu wa vijijini kule pemba na darajani kule unguja?? mifano ni lazima iwe ya aina ile tu? otherwise na wewe ni poor thinker

huyu jamaa amedharau kwa kiwango kikubwa sana watu wa Zanzibar hasa Pemba kwamba kwa akili yake vile ni visiwa vidogo lakini havina watu ambao wanaakili kubwa zaidi ya kuona mbali zaidi pia wenye uelewa wa mambo. Kwanini majibu yake hayakumlenga Sada tu kama Sada. kwanini afananishe na watu wa vijiweni kule Pemba ama darajani Unguja??

Sasa huu ndio ubaguzi na dharau ya kiwango cha juu zaidi kwa wazanzibari ambao mhe ndiko anakotokea. Na sasa Tz hawa ndio marais ambao mnazalisha wenye viburi na kujiona wao ndio wenye mawazo na mtazamo na kujua kila kitu na sasa ndio tunafika hapa wenye akili finyu wanaona ni sawa tu kila kitu kiko sawa.
Mawazo ya mkuya yalipaswa kutolewa na wapiga soga vijiweni na watu wa vijijini na sio kiongozi kama yeye

Hajadharau,watu wa vijiweni wa dar ,iringa ,mbeya ,unguja na sehemu zingine zote story zao zinafanana porojo porojo tu

Sijaona tatizo labda kama hujui wapiga stori wa vijiweni na mitandao wa TZ ,porojo porojo ,kujigawa,udaku nk ...

Prof yupo sawa 100%
 
Mimi sio Mzanzibari. Nipo Mwanza na Mimi ni Mkristo. Sijaangalia udini wala ukabila kwenye hili. Nimeangalia moyo.
Hata mimi nimejaribu kueleza uhalisia wa mambo tu! Sikuangalia ukristo wako wala uislamu wa mbarawa.
 
Pascal Mayalla
nakupa homework, tafuta staff wa TTCL then muulize mbawala vipi. jibu utakalo pata njoo hapa uongezee nyama kwenye bandika lako.

inshort CCM ni Ukoo wa panya hakunaga mwenye nafuu.

kinachomuweka mawasiliano na uchukuzi ni kuwa walipigaga wote na sizo so wanajuana, wakati yeye anapiga mawasiliano mkulu akitafuna uchukuzi.
 
Hebu acheni ujuha,

Rais ndo kwanza ana miaka miwili mshaanza kumuota mrithi wake,

Badala ya kumbana aliyepo ajikite kwenye huduma za kijamii, elimu, afya awekeze nguvu huko, mnawaza mrithi,

Hivi tutatoka lini kwenye huu ujinga, Maradhi na umasikini?

Tumbane huyu ili hata atayekuja ajue kuwa naongoza watu si maroboti

Watz mnaboa saba

kashapwaya huyu.
 
Mawazo ya mkuya yalipaswa kutolewa na wapiga soga vijiweni na watu wa vijijini na sio kiongozi kama yeye

Hajadharau,watu wa vijiweni wa dar ,iringa ,mbeya ,unguja na sehemu zingine zote story zao zinafanana porojo porojo tu

Sijaona tatizo labda kama hujui wapiga stori wa vijiweni na mitandao wa TZ ,porojo porojo ,kujigawa,udaku nk ...

Prof yupo sawa 100%

The sky is too high the pig cannot fly., ndipo akili yako ilipokufikisha
 
Pamoja na mengine, Sifa kubwa anayotakiwa kuwa nayo Rais wa Tanzania ni uwezo wa kupambana na ufisadi

Akiwa na uwezo wa kudhibiti ufisadi itakuwa msafi tu automatically yeye binafsi maana huwezi kuwa unaona na kula peke yako, si rahisi

Sasa tupe historia ya profesa mbarawa katika suala hili.
 
Tangu hujuee[emoji2][emoji38]

Ok ujue huyo mumeo ni kituko cha jamii

😱😱😱
Eeeeh

Sasa wewe kama unatafuta mke si utume ombi huko love connect au!? Acha kuwashea washwa na kutamani kujua yangu.. eti jamii eeeeh hata ujaribu kunisingizia hunipati ng'ooo
Nenda kasaidie kujua pesa za mgonjwa wamezila kivipi..
 
Na Makonda naye atafaa sana sanaaaaa.. tena katika kuendeleza hapa kazi tu.. na pia bila kumsahau Majaliwa

Hawa wawili wakishika vyeo vya juu baada ya 2025 nchi itazidi kunoga.
Makonda/Bashite atapotea na Magufuli, yule jamaa tatizo lake kibuli na kutoona mbali.
 
Back
Top Bottom