Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?

Mayala, Katiba iheshimiwe. Miaka kumi kama akishinda, inatosha. Mbarawa yuko vizuri namkubali pia. Hana mihemko na ana busara, ana heshimu wafanyakazi kwa kutoae maelekezo ya kama kiongozi. Kassimu yupo vizuri pia. anajali sheria ingawa anazidiwa na
 
Ni zamu ya Antipas Lissu
 
Wewe umtakii mema Prof Mbarawa.
 
Imagine hawa vijana 2 ( Mak.../Mwig....) mmojawapo angekuwa Rais ingekuwaje!!! Kama wamepewa viwizara tu kimyaaaaaaaaaaa hata mambo yanayowahusu hawaongei.
 
Ankal umeniwahi...nilishamuona Prof muda sana na nikamuweka kiporo!! Kwa siasa za kubadilishana bara na zbar hasa Pemba nadhani hapo ni sahihi....ingawa naona kuna mchuano mkali kwa HM.....ingawa anaweza enda akapata nafasi ya Shein akamalizia political career yake Zbar.....Bara amuachie Prof.....mara nyingi huwa nalia na utaratibu hasa kwa mfumo vyama vingi ni shida kwa syetem kutengeneza viongozi??.....maana wat attach chama tawala mwisho itakuwa sio fair sana kwa wapinzani....najua hadi sasa JM , MN(Dr) wameandaliwa kuwa viongozi mbeleni......baada ya hapo nani ameandaliwa , utaratibu gani utakaofuata?????......
 
kiongozi mzuri ni yule anae develop the other leaders. Magufuli sijui kamtolea wapi huyu mtu.
 

Hii ni dalili ya kukata tamaa!
 
Mayala, Katiba iheshimiwe. Miaka kumi kama akishinda, inatosha. Mbarawa yuko vizuri namkubali pia. Hana mihemko na ana busara, ana heshimu wafanyakazi kwa kutoae maelekezo ya kama kiongozi. Kassimu yupo vizuri pia. anajali sheria ingawa anazidiwa na

miaka kumi katiba ya wapi ?
wacheni ulevi wa kuifanya katiba ya ZANUPF akaMACCM kuwa katiba ya nchi.
 
Atasapotiwa na Mungu aliyemwokoa

Anayetembelea magongo hawezi kuongoza! Kabla ya kutaja majina ya watu 'presidential material' tujikite kwanza kuainisha aina ya nchi tunayohitaji pamoja na vigezo vya kiongozi wake mkuu ajaye. Kwanza kabisa nadhani tunahitaji nchi xa jamii iliyostaarabika inayothamini uhai wa binadamu na inayochukia ulaghai wa aina yoyote katika kutafuta uongozi wa kisiasa. Pili, more than anything else, nchi hii sasa inahitaji kiongozi mkereketwa wa haki za binadamu; uncompromising kwenye suala la haki za binadamu na raia. Tunataka kiongozi jasiri ambaye atatambua kuwa jukumu lake la kwanza ni kuthamini na kulinda kwa nguvu zote uhai wa kila raia na hivyo kutumia akili yake yote na mamlaka yake yote kuung'oa huu ushetani unaonyemelea nchi yetu wa kudhani usalama wake unahitaji baadhi ya raia kunyang'anywa uhai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…