Hiyo high speed bullet train yenye speed zaidi ya 200 nafikiri ni latest technology ambayo sidhani kama bongolala kwa pesa ya kutembeza bakuli mnaweza kununua, Mbarawa is right.......ya kwetu inatumia umeme na speed yake ipo juu kutokana pia na reli inayotumia (SGR), hivyo speed yake ipo juu sana zaidi ya hizi tulizozoea. Kuna zile zinazokaribia supersonic speed nafikiri ni technology ya south Korea au Japan ambazo ni kwa safari ndefu kati ya majiji makubwa na hizi unakuta reli yake imejengwa kisasa na kiusalama zaidi.