Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

Hiyo high speed bullet train yenye speed zaidi ya 200 nafikiri ni latest technology ambayo sidhani kama bongolala kwa pesa ya kutembeza bakuli mnaweza kununua, Mbarawa is right.......ya kwetu inatumia umeme na speed yake ipo juu kutokana pia na reli inayotumia (SGR), hivyo speed yake ipo juu sana zaidi ya hizi tulizozoea. Kuna zile zinazokaribia supersonic speed nafikiri ni technology ya south Korea au Japan ambazo ni kwa safari ndefu kati ya majiji makubwa na hizi unakuta reli yake imejengwa kisasa na kiusalama zaidi.​
 
Iweje mabehewa ya masafa marefu yaagizwe mapema wakati mradi umekamilika Hadi Morogoro? Haya mambo mbona hayana mantiki?
 
Hi Magufuli amekufa wametugeuzia kila kitu kusudi wapige hela.
 
Kama kuna mtu aliamini ccm na serikali yao wataleta train zilizokuwa zikionyeshwa inabidi apimwe akili.
 
Hongera viongozi wa CCM kwa kuwa na ndimi mbili!

Nakumbuka tuliambiwa ni treni ya kasi kuweza kufika Mwanza kwa saa chache lakini sasa mmeweka vitanda ili watu wakeshe ndani!
 
Hii nchi kiongozi ambaye aliiweza ni JPM ,ingawa wapo wengine wanauthubutu sema wanaogopa ule msemo wa kizungu unaosema don't outshine your master wakiofia ugali wao kuingia mchanga wamekaa kimya lakini wahenga wanasama speak the truth even if it will cost your life na msemo mwingine ni ,keeping silence in the situation of injustice is to stand in the opposer side . Bashiru,polepole wameonesha mbegu ya uongozi wa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…