Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

 

Attachments

  • Screenshot_20211029-110122.png
    234.4 KB · Views: 8
Tokea mwanzo nilikuwa ninajua hiyo habari ya treni ya umeme ni uongo wa dhahiri. Na tulisema yule baba wa uongo haaminiki. Kwa sasa kinachoendelea ni muendelezo wa ule uongo wa yule mkuu wa uongo aliyeko jehanamu.
Hapana... tusichanganye mambo!!

Reli kuwa ya umeme haina maana kwamba itatumia high speed trains. Tofauti ya electrified SGR na ile isiyokuwa electrified ni kwamba Train zitakazopita kwenye electrified SGR zitakuwa za kasi zaidi kuliko zile zisizo electrified lakini bado kasi hiyo haitakuwa sawa na high speed train.

Which means, trains zitakazotumia SGR yetu zitakuwa za kasi zaidi kuliko zile za Kenya!!

Makame kasema ukweli, sema tu watu tunajisahaulisha. Mara kadhaa, tangu wakati wa uzinduzi wake ilishasemwa SGR itawezesha trains kutembea kwa speed ya 160KM/HOUR kwa sababu ni electrified.

In contrary, high speed trains ni zile zinazoenda kwa speed ya 250km/hour na kuendelea, na ujenzi wa hizo reli ni very expensive.
 
Tuendelee kupanda kumbinyiko,hizi zitakuwa speed 80 utaniambia
 
Profesa naye awe mwangalifu, ataanza kuonekana kama mbabaishaji na kupoteza heshima yake.

Ni nani aliyeweka picha zile za mwanzo zinazoonyesha nembo ya TRC, kama siyo shirika lenyewe? Kwa hiyo wapotoshaji ni hao hao ndani ya shirika lenyewe.
 
Lakini TRC wakaona ni bora wawadanganye watu kwa kuweka picha ambazo haziendani na kinachotarajiwa. Hilo wewe huoni kuwa ni tatizo ambalo wamelianzisha wenyewe, tena kwa maksudi kabisa?
 
Ni kweli..lakini mbona kwenye picha zao za mwanzo hao TRC walituonesha kitu tofauti na tulicholetewa?
Sisi tumeingia second generation ya train,bado first generation,wandugu mimi nilijua hili litasumbua wengi,nchi haiwezi ruka hatua hata wenzetu walienda step by step
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…