Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.

Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.

Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class

Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa

Source ITV Habari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni Kweli r.i.p magu full ila ndio kipindi chake Sasa ndio walio ingia mikataba hi ya ununuzi na ujenzi
Ni vizuri mkaleta ushihadi wowote wa JPM katika hotuba zake za SGR kuna sehemu alisema hizi ni speed 200Kmh trains? hotuba zake zote alisema max speed 180Kmh na za umeme na ndio hizi, waziri yuko 100% sawa zile bullet za 200Kmh plus ni fupi na kichwa kinashikana na mabehewa. Hizi zetu zinaenda mpaka 180kmh max sasa shida iko wapi? tusilaumu tu mbona hotuba za JPM zipo tu kila mtu anaweza kwenda kusikiliza na kijiridhisha.
 
Hapana... tusichanganye mambo!!

Reli kuwa ya umeme haina maana kwamba itatumia high speed trains. Tofauti ya electrified SGR na ile isiyokuwa electrified ni kwamba Train zitakazopita kwenye electrified SGR zitakuwa za kasi zaidi kuliko zile zisizo electrified lakini bado kasi hiyo haitakuwa sawa na high speed train.

Which means, trains zitakazotumia SGR yetu zitakuwa za kasi zaidi kuliko zile za Kenya!!

Makame kasema ukweli, sema tu watu tunajisahaulisha. Mara kadhaa, tangu wakati wa uzinduzi wake ilishasemwa SGR itawezesha trains kutembea kwa speed ya 160KM/HOUR kwa sababu ni electrified.

In contrary, high speed trains ni zile zinazoenda kwa speed ya 250km/hour na kuendelea, na ujenzi wa hizo reli ni very expensive.
Hila kwa nchi yetu na ukubwa wake Ni Bora wengejenga vipis vipisi angalau tuende hyo 250 had 320 kwa saa kuliko kujenga 160 kwa saaa na bado haitaleta tija ya kuwai

Haraka za nn na miradi mingi isyo leta tija
Kwa Sasa wameamia kuweka daraja jangwani
 
EMU na DMU zote hutumika zaidi kwemye city trains naona prof hajashauriwa vizuri.

EMU zinafungwa vichwa viwili na behewa kadhaa zinaungana kama mabus ya mwendokasi. Bado zinaenda kwa kasi hadi 150 KPH.
Kuna mchongoko mbele kunasaidia kupunguza matumizi ya nishati husika(umeme au Diesel). Bado tutataka vichwa na mabehewa tuliyoonyeshwa na sio hivi vya sasa
Subiria vicha sasa
 
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Hivi kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro ni masafa Marefu? Huyu waziri si ni Mhandisi? Hayo mabehewa yafanyiwe modification. TEMDO kwa kushirikiana NIT, MUST, TIRDO na UDMS Pamoja na TEMESA watengeneze vichwa mchongoko vya treini na hayo mabehewa wayaunganishe kwa mbinu ya magari ya UDART yaani mwendo kasi ili tupate treini inayosafiri kwa spidi kubwa.

Uwezo tunao na hatutaki kusikua nia imewekwa rehani.
 
Naomba kueleishwa hii ya kwetu kwa maelezo hayo ina tofauti na ile ya Kenya kwa kasi?
Yakwetu na ya Kwnya hazitofautiani mabehewa sawa tu, tungeleta zile za kisasa tunge wapiga bao wa Kenya na tunge heshimika Afrika kwa kumiliki treni za kisasa.
 
Tatizo ni hao TRC kuweka picha za High speed train wakati wanajua sio kweli
Kwani hizo High speed bei zake ni shilingi ngapi tujue je Serikali haiwezi kununua, mfano ndege alizonunua Magufuli haziwe kufikia au kukaribia gharama za Treni za High speed kweli?
 
Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.

Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.

Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class

Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa

Source ITV Habari
Hiv kwel SGR lengo kuu ni kusafirisha abiria? Duh
 
Jiwe alishawaingiza watu Chaka 😁😁😁.

Itakuwa tuu na speed Kama Tazara
 
Tokea mwanzo nilikuwa ninajua hiyo habari ya treni ya umeme ni uongo wa dhahiri. Na tulisema yule baba wa uongo haaminiki. Kwa sasa kinachoendelea ni muendelezo wa ule uongo wa yule mkuu wa uongo aliyeko jehanamu.
Treni za kisasa haziwezi kuja bongo kwasasa niliona treni za china jinsi zinavyo ongozwa wao na chumba cha kuingoza treni kina wataalamu wengi sana computer nyingi ili kulinda mifumo ya treni na kugundua tatizo, Sasa sisi sikusikia wala kuona. TRC wakijenga control room yaku ongoza treni ya kisasa, yani hii treni yetu mifumo yake ni ileile yaki zamani
 
Kwani hizo High speed bei zake ni shilingi ngapi tujue je Serikali haiwezi kununua, mfano ndege alizonunua Magufuli haziwe kufikia au kukaribia gharama za Treni za High speed kweli?
Ikiwezekana tuuze ndege moja tununue treini ya mwendokasi kama Kuna uwezekano huo. Si nindege za serikali hizo? Shida ipo wapi?
 
Nimemuelewa Mbarawa,wametumia busara,sasa wakileta treni za mwendokasi watatumia umeme gani?
Huu umeme Maharage na Kipara hautabiriki!!
 
Hii nchi kiongozi ambaye aliiweza ni JPM ,ingawa wapo wengine wanauthubutu sema wanaogopa ule msemo wa kizungu unaosema don't outshine your master wakiofia ugali wao kuingia mchanga wamekaa kimya lakini wahenga wanasama speak the truth even if it will cost your life na msemo mwingine ni ,keeping silence in the situation of injustice is to stand in the opposer side . Bashiru,polepole wameonesha mbegu ya uongozi wa kweli
Aliyewaingiza hizo Chaka Ni Nani Kama sio huyo huyo Mwendazake na alivyokuwaga liongo ndio meza Sasa matamshi yake..

Kwani hata pale Tazara au Ubungo ramani za flyovers zilizooneshwa Hadi kuvunjwa majengo ndio zilijengwa?

Tofauti ya Mwendazake na Sasa Ni kwamba wa Sasa wanaongea ukweli vs kujifukiza kwa Moshi 😁😁
 
Back
Top Bottom