Prof mbwette;.out imekushinda??

Prof mbwette;.out imekushinda??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Inasikitisha kuona chuo kikuu kama open unniversity of dar es salaam ati wanafunga website ambayo wanafunzi wanapata msaada kujua taarifa zinazojiri kuhusu matokeo pamoja na mambo mengineyo..nimeongea haya kutokana na mambo mengi yaliotokea hapa karibuni..inashangaz kukuta sasa ni mwezi ukifungua sehemu ya matokeo ya wanafunzi unakutana na hivi vioja


The Open University of Tanzania
Student Academic Register Information System - (SARIS)

Dear All SARIS Users
Kindly, be informed that because of some technical issues being carried out, SARIS will be offline for a while. We regret for any inconveniences.

The Open University of Tanzania




Naomba niweke wazi wanza wanatakiwa wawe wawazi kuwaelimisha wanafunzi nini kinaendelea kuhusu mtandao wanaoutegemea;ndugu zanguni tuko mwaka wa pili sasa tunateseka sana kupata matokeo yetu..nikiongea hivi naamaanisha..unakuta tunafanya mtihani unapewa na matokeo yako ya assignments siku ya siku unakuta hayapo kwenye mtandao ambao wao ndio wanayaamini...tumeteseka sana mbwete tumeomba sana tatizo la mitihani yetu liwe serious kuna watu ambao wameshindwa kugraduate si kwamba awajafanya mitihani jamani wamefanya lakini matokeo ya annual exams hayaonekani..ukimuuliza mwalimu anasema kwani ujui nexty subiri urudie...haya ni majibu machafu ambayo ayapaswi kupewa mtu anaesoma chuo kikuu...

GRADUATION
Ndugu Prof mbwette najua unakiweza hiki chuo kama uliweza pale udsm sidhani hiki nini nini!!tuliwasindikiza wenzetu pale kibaha bungo hakika mazingira si tu hayakuwa mazuri bali nahisi kuna katabia cha UFISADI Kametendeka..aiwezekani wanafunzi wenzetu mkawajaza sehemu moja kama kuku kisa mkiogopa kutumika maturubai mengi..huu uhuni usionekane tena kwenye gradu zetu ama za wenzetu..lazima tuwaheshimu kuna wengine wazee kule walishindwa hata kupumua mtu anapigiwa na nduguyake mmeanza kuitwa ndio anarudi kwenye kiti..wengine walikuwa na mimba walikaribia kuzaa..tujaribu kuliona hili na kuheshimu uhai wa mtu....

VYAKULA
Hakika ukiwa kama BABA yetu sikufichi wale mliowapa tenda ambao ndio wale wanaopika pale UDSM sijui ni tenda ya prof ....ama ala atuitaji kujua ila si siri mzazi walichemka;kwanza kwa pesa waliokuwa wanachaji ni uhuni mtupu...ukilinganisha na stanadard ya vyakula vilivyokuwa vikiuzwa....pilau haina nyama..imejaa mifuta wengine wenye pressure awakula kabisa...
Maji kwa kweli walijitahidi ila atukupenda swala la maji ya miatatu kutuuzia 500 KISA tu tuko KIBAHA..mungu aepushie mbali kwa kweli​
 
Tatizo Open inachukua wanafunzi wengi kuliko inavyostaili.
wakitangaza kazi msisite kuweka hapa jamvini tupo wenye sifa za kuongoza chuo kikuu.
 
prof mbwete nazani umefika wakati wa kutangaza hali ya hatari hiko chuo seems kinakushinda..uwezi umiza wanafunzi 1000 pasipo sababu...kwa mambo ya kipumbafu mbafu yan /yaliyofanywa na wafanayakazi wako tupe uhuru wa kutumia web yetu tafadhali.......................

UTAPELI WA VYAKULA

MH MBWETTE HILI NIMELIKUTA LEO NILIKUWA NA HAMU KUSUBIR...WAKATI WA CONV PALE OUT WATU ZAIIDI YA 100 WALILISHWA ROBO KUKU SAMBUSA NA NDIZI MOJA LEO HII KWA MASIKITIKO NAONA INV INAONYESHA WATU WAMELISHWA NUSU KUKU WAKATI WALIPEWA ROBO ...NA NDIZI 3 BADALA YA MOJA TUTATFIKA KWELI NDIO HIZI PESA ZA WIZI MNAMLILIA WAZIRI MKUU KISA MAMA PINDA YUKO PALE OOOH NOO SERIKALI MWACHE KUCHEZEA PESA ZA WATANZANIA JAMANI
 
Wanafunzi wa OUT wanatumia njia zipi kupata matokeo yao ya mitihani?
Nimekuwa nikifuatilia kazi ya mwanafunzi wa sheria aliye mkoani hapo headquarters ya OUT Kinondoni B ila nimeambulia adha kubwa ajabu.

Ni kwa muda gani sasa SARIS iko offline?

Najaribu hata ku-ping 196.43.78.163 ila sipati majibu.
Pengine tatizo ni network yangu; tafadhali naomba mtu anisaidie ku-access
http://www.out.ac.tz/
halafu pale chini kabisa (Button ya nne)
Saris Login


Any success? Thanks!
 
Nimeona Mbwete kakomalia maji ya chupa sasa sijui ni part ya kazi yake kuimarisha chuo au vipi

sikitiko
 
kwani wanajua wanachokifanya hao viongozi wenu wa vyuo? kila kitu wanafanya kwa kusikiliza maagizo wala hawana chochote clean kutoka kichwani kwao. its very sad when seeing the whole system being politicized
 
Back
Top Bottom