GE2025 Prof. Mkenda aitaka Rombo tena, achukua fomu kupitia CCM

GE2025 Prof. Mkenda aitaka Rombo tena, achukua fomu kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Massoud MeliMeli
1751131880307.png
 
Back
Top Bottom