Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
naskia kuanzia form 3 wa mwaka huu hakuna kukimbia physics hatakama unachukua businessNaona wastani wa F kwenye English ni 25% ila wastani kwenye Mathematics(Hisabati) walopata F ni 81.5%
Kuna tatizo kubwa tena zito sana kwenye Maths kuliko hiyo kingereza(Hesabu haichagui Lugha) Ila iko hivyo
Watoto wa government schools wapelekwe tuitions..Naona wastani wa F kwenye English ni 25% ila wastani kwenye Mathematics(Hisabati) walopata F ni 81.5%
Kuna tatizo kubwa tena zito sana kwenye Maths kuliko hiyo kingereza(Hesabu haichagui Lugha) Ila iko hivyo
Sasa kama mathe ni ngumu, kuisoma kwa kiingereza si ndo hatari zaidiNaona wastani wa F kwenye English ni 25% ila wastani kwenye Mathematics(Hisabati) walopata F ni 81.5%
Kuna tatizo kubwa tena zito sana kwenye Maths kuliko hiyo kingereza(Hesabu haichagui Lugha) Ila iko hivyo
Mimi nadhani msingi mzima wa Elimu ya Tanzania ni mbovu wala sio Kiingereza pekee, ukijaribu kufuatilia Elimu yetu haimwandai mtu kuweza kujitegemea pasipo kufikiria ajira SerikaliniNaona wastani wa F kwenye English ni 25% ila wastani kwenye Mathematics(Hisabati) walopata F ni 81.5%
Kuna tatizo kubwa tena zito sana kwenye Maths kuliko hiyo kingereza(Hesabu haichagui Lugha) Ila iko hivyo
Maths ni Talent(Kipaji kama kipaji kingine) maths haitaji uwe unajua Lugha kiasi kikubwa hata.Sasa kama mathe ni ngumu, kuisoma kwa kiingereza si ndo hatari zaidi
Serikali ibadili tu syllabus shuke za serikali ziwe English medium tuWatoto government schools wapelekwe tuitions..
inahitaji mazoezi tu, sasa utaifanyiaje mazoezi na lugha haipandi, huelewi?Maths ni Talent(Kipaji kama kipaji kingine) maths haitaji uwe unajua Lugha kiasi kikubwa hata.
Hao walimu wenyewe wanaingia basi hata huko darasani. Mjali mwanao achana na wanasiasa mkuu..Serikali ibadili tu syllabus iwe English medium tu
....kulingana na ufaulu wa Darasa la Saba..Hapana Bado Physics ni Option .. Na pia form 1 mwaka huu ana chagua akiwa kidato cha kwanza na sio kidato cha tatu... Ina maana mtoto anaamua achukue physics au aache akiwa form 1
Walimu wa kiingereza na hisabati wapo wengi mtaani, wapeni ajira basi wasaidie kutatua tatizoWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amekiri kuwa msingi dhaifu wa mafunzo ya lugha ya Kiingereza kwa wanafunzi wa sekondari nchini umechangia kwa kiasi kikubwa matokeo mabaya ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2024.
View attachment 3195497
Hata waziri mwenyewe sio competent kwenye hiyo lugha.Kama walimu wenyewe tu hawako copetence kwenye kiingereza watafundisha nini? Kituko zaidi kiko kwenye shule za english medium utacheka uzimie! Wanafunzi wanaongea kiingereza kibovu walichofundishwa na walimu wao incopetence. Shule inaitwa english medium lakini lugha ya kiingereza ni shughuli pevu
Hapa ndo sehem walipo feli... Kwasabahu la saba kuna Science ambayo mtoto hajuai Physcis ni nn Au chemistry au History.....kulingana na ufaulu wa Darasa la Saba..
Wabongo wavivu wakufikiri na namba zataka ukune kichwa kweli kweliNaona wastani wa F kwenye English ni 25% ila wastani kwenye Mathematics(Hisabati) walopata F ni 81.5%
Kuna tatizo kubwa tena zito sana kwenye Maths kuliko hiyo kingereza(Hesabu haichagui Lugha) Ila iko hivyo