Prof. Mkenda akiri msingi dhaifu wa Kiingereza chanzo cha wengi kufeli

Prof. Mkenda akiri msingi dhaifu wa Kiingereza chanzo cha wengi kufeli

Hapa ndo sehem walipo feli... Kwasabahu la saba kuna Science ambayo mtoto hajuai Physcis ni nn Au chemistry au History.

Yaan History Biology Physics na Chemistry yamekuwa masomo mtoto atachagua akiwa form 1.. hofu yangu ni kuwa hajui anachikichagua kikoje .. angesoma hata mwaka mmoja aone muelekee hapo sawa
Hivi hatuwezi copy paste curriculum ya US au China kuanzia kindergarten mpaka high school?
 
Tuje kwenye hisabati huko ndio funga kazi, ni ubabaishaji mtupu kwenye ufundishaji. Shule nzima unaweza kuta haina mwalimu wa hisabati, wanaishia kufundisha darasa la nne, huko la tano, sita na saba hawapandi na wakipanda watachagua mada nyepesi kubabaisha wanafunzi. Sasa kama mwalimu alipata F atafundisha nini wanafunzi?
 
Watanzania tu na Kingereza wapi na wapi?
 
Hivi hatuwezi copy paste curriculum ya US au China kuanzia kindergarten mpaka high school?
Kwa hela zipi mlizokuwa nazo ? Ile inahitaji Gharama sana... Kama china hata watu wanaogopa kuwa na wstoto wengi maana ni gharama sana. Huku kwetu tuna jizaliana tuu hatuna ustarabu hata eti Elimu bure
 
Walimu wenyewe hawajui kiingereza, wanafunzi watajuaje?
 
Watoto wanaishi mitaani manazao wanauza ulanzi kuaxia asb hadi majogoo

Uwawa lazima igome
 
Back
Top Bottom