Tuje kwenye hisabati huko ndio funga kazi, ni ubabaishaji mtupu kwenye ufundishaji. Shule nzima unaweza kuta haina mwalimu wa hisabati, wanaishia kufundisha darasa la nne, huko la tano, sita na saba hawapandi na wakipanda watachagua mada nyepesi kubabaisha wanafunzi. Sasa kama mwalimu alipata F atafundisha nini wanafunzi?