Kuwa waziri Tanzania ni rahisi sana. La msingi kwa sasa uwe na majibu mawili kwa kila tatizo.That is NONSENSE🐒
If we allow the rule of jungle to take hold of our modus operand, why do we have to care? Kama kweli tunajipenda, tuwekeze kwenye uzalishaji mkubwa wa ndani. Ila lazima kuna namna ya kuwezesha hilo kufanikiwa. Vinginevyo ni kuchosha wakulima bila sababuSoya na michikichi tunayo kwa nini tusitagute mwekezaji kama sisi hatuwezi akawekeza kwenye sekta ya mafuta ya kupikia tu?
Bakhresa aliingia kwenye biashara ya mafuta ya kula, kama mnakumbuka mwaka jana madumu yake ya mafuta yalianza sambazwa madukani.Jinsi alivokuta rafu zinavochezwa kwenye mafuta akaona hii dhambi siiwezi akaiwacha ile biashara.Kwasababu mtu kama Mo anaingiza mafuta kutoka nje ya nchi yameexpire kabisa halafu anaanza kuyapack upya usiku kucha na kubandika lebo then yanaingizwa sokoni.Inamlipa mara 5 na zaidi.