Prof. Mkenda: Bei ya Mafuta ya Kupikia imepanda kwa Sababu 55% ya Mafuta yanaagizwa kutoka Nje

Prof. Mkenda: Bei ya Mafuta ya Kupikia imepanda kwa Sababu 55% ya Mafuta yanaagizwa kutoka Nje

That is NONSENSE🐒
Kuwa waziri Tanzania ni rahisi sana. La msingi kwa sasa uwe na majibu mawili kwa kila tatizo.
Ni mipango ya Mungu, na ni kutokana na bei kupanda kwenye soko la dunia.
Basi, unaendelea kula maisha ukipewa first class treatment ya uwaziri kwa maneno hayo mawili
 
Biashara ya mafuta ni biashara ya wakubwa tena wengine ni usalama.Mwendazake alijitahidi kudhibiti hii kitu.Lakini now naona uhuru wa manyani umerejea
 
Bakhresa aliingia kwenye biashara ya mafuta ya kula, kama mnakumbuka mwaka jana madumu yake ya mafuta yalianza sambazwa madukani.Jinsi alivokuta rafu zinavochezwa kwenye mafuta akaona hii dhambi siiwezi akaiwacha ile biashara.Kwasababu mtu kama Mo anaingiza mafuta kutoka nje ya nchi yameexpire kabisa halafu anaanza kuyapack upya usiku kucha na kubandika lebo then yanaingizwa sokoni.Inamlipa mara 5 na zaidi.
 
Soya na michikichi tunayo kwa nini tusitagute mwekezaji kama sisi hatuwezi akawekeza kwenye sekta ya mafuta ya kupikia tu?
If we allow the rule of jungle to take hold of our modus operand, why do we have to care? Kama kweli tunajipenda, tuwekeze kwenye uzalishaji mkubwa wa ndani. Ila lazima kuna namna ya kuwezesha hilo kufanikiwa. Vinginevyo ni kuchosha wakulima bila sababu
 
Bakhresa aliingia kwenye biashara ya mafuta ya kula, kama mnakumbuka mwaka jana madumu yake ya mafuta yalianza sambazwa madukani.Jinsi alivokuta rafu zinavochezwa kwenye mafuta akaona hii dhambi siiwezi akaiwacha ile biashara.Kwasababu mtu kama Mo anaingiza mafuta kutoka nje ya nchi yameexpire kabisa halafu anaanza kuyapack upya usiku kucha na kubandika lebo then yanaingizwa sokoni.Inamlipa mara 5 na zaidi.

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom