A HUMBLE LEADER
Senior Member
- Sep 21, 2022
- 138
- 343
Mheshimiwa
Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini cha ajabu HII NI SIKU YA NNE TANGU JUMATATU HAWAJALIPWA CHOCHOTE NA HALI ZAO NI MBAYA SANA!
Taarifa za kuaminika ni kuwa baadhi yao wameanza kuomba hifadhi ya kulala kwa wanachuo kwa kukosa Fedha za kulipia VYUMBA pia wanalia hawapati chakula cha jioni!!!
Nimatumaini yangu kuwa mradi huu wa sequip una fadhiliwa na wahisani kwa fedha za kutosha sana,IWEJE Walimu hao wasilipwe fedha zao za semina!!?
Hivi hao Walimu wanaelewa kweli hicho wanachoseminishwa kwa njaa na malazi yasiyoeleweka!!?
Naamini wizara YAKO ya elimu ipo macho na itatenda kwa ajili ya udhalilishaji huu kwa watumishi wa umma ambao ni kioo cha jamii wanaodhalilishwa hapo mwanza!!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu awape wepesi Walimu hao wanaodhalilishwa dhalili!