DOKEZO Prof. Mkenda, Tambua wanasemina walimu wa sayansi waliopo Butimba TTC tokea Tabora hawajalipwa siku ya nne hii

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mheshimiwa

Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini cha ajabu HII NI SIKU YA NNE TANGU JUMATATU HAWAJALIPWA CHOCHOTE NA HALI ZAO NI MBAYA SANA!

Taarifa za kuaminika ni kuwa baadhi yao wameanza kuomba hifadhi ya kulala kwa wanachuo kwa kukosa Fedha za kulipia VYUMBA pia wanalia hawapati chakula cha jioni!!!

Nimatumaini yangu kuwa mradi huu wa sequip una fadhiliwa na wahisani kwa fedha za kutosha sana,IWEJE Walimu hao wasilipwe fedha zao za semina!!?

Hivi hao Walimu wanaelewa kweli hicho wanachoseminishwa kwa njaa na malazi yasiyoeleweka!!?

Naamini wizara YAKO ya elimu ipo macho na itatenda kwa ajili ya udhalilishaji huu kwa watumishi wa umma ambao ni kioo cha jamii wanaodhalilishwa hapo mwanza!!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu awape wepesi Walimu hao wanaodhalilishwa dhalili!
Hii kada mmejaa malalamiko sana.
Siku nne hamuwezi kuvumilia?
 
Mnafanya ualimu udharaulike hivi unashindwa kuishi kwa siku nne tu nje ya makazi yako.
Mkuu, umekimbilia kuhitimisha mapema sana kabla ya kuhoji mambo ya msingi. Swala la kumudu au kushindwa kuishi kwa siku nne nje ya makazi ni swala moja, lipo swala la pili ambalo natamani kulijua kwasababu mimi siyo Mwalimu.

Kwa mujibu wa taaluma ya Ualimu, hivi hakuna Miongozo/Kanuni/Sera za kuratibu semina kwa Walimu? Kama ipo, ni lazima iwe imebainisha ni vipi Mwalimu anapaswa kuwezeshwa kwenye semina hizo, yaani maswala kama, alipwe lini (kabla hajaondoka kituoni, akishafika kituo husika ambapo semina itafanyika au akishamaliza semina).

Kama wanapaswa kulipwa kabla ya kuondoka kituoni na hadi sasa hawajalipwa basi waratibu wa semina hiyo wana makosa bila kujali Walimu hao wanamudu au hawamudu gharama za kukaa nje ya kituo kwa siku 4 au zaidi.

Aidha, sijaona mahali mtoa mada amejinasibu kwamba yeye ni Mwalimu, ni kama tu anawasemea Walimu, ila komenti yako inaonyesha umeshahitimisha moja kwa moja kwamba yeye ni ticha [emoji1].

All in all, nawapa pole Walimu wote wanaokumbwa na kadhia hii.
 
Wenzenu huko Moro siku 5 wamelipwa laki 6 na 25.
 
Watazidi kuonewa. Kwanini wasiache kuingia semina kama wakiwa na njaa hawaelewi?
Ndio vizuri waelewe kwamba njaa nimbaya ndio watakua wanawaelewa watoto fukara wakifeli
 
Mheshimiwa

Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini cha ajabu HII NI SIKU YA NNE TANGU JUMATATU HAWAJALIPWA CHOCHOTE NA HALI ZAO NI MBAYA SANA!

Taarifa za kuaminika ni kuwa baadhi yao wameanza kuomba hifadhi ya kulala kwa wanachuo kwa kukosa Fedha za kulipia VYUMBA pia wanalia hawapati chakula cha jioni!!!

Nimatumaini yangu kuwa mradi huu wa sequip una fadhiliwa na wahisani kwa fedha za kutosha sana,IWEJE Walimu hao wasilipwe fedha zao za semina!!?

Hivi hao Walimu wanaelewa kweli hicho wanachoseminishwa kwa njaa na malazi yasiyoeleweka!!?

Naamini wizara YAKO ya elimu ipo macho na itatenda kwa ajili ya udhalilishaji huu kwa watumishi wa umma ambao ni kioo cha jamii wanaodhalilishwa hapo mwanza!!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu awape wepesi Walimu hao wanaodhalilishwa dhalili!
Wewe ni mhasibu, mwalimu, mwezeshaji, au caterer?
 
Mnaoshangaa huyo mwalimu aliyelalamikia kwenye forum hii kwamba kwanini asingepeleka malalamiko yake kwa viongozi wake wa chini yaani mpaka mkoani msichokijua ni kwamba hao wanaweza wakawa ndio wakwamishaji .Je wanaweza kujichukulia hatua wenyewe?
 
Mheshimiwa

Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini cha ajabu HII NI SIKU YA NNE TANGU JUMATATU HAWAJALIPWA CHOCHOTE NA HALI ZAO NI MBAYA SANA!

Taarifa za kuaminika ni kuwa baadhi yao wameanza kuomba hifadhi ya kulala kwa wanachuo kwa kukosa Fedha za kulipia VYUMBA pia wanalia hawapati chakula cha jioni!!!

Nimatumaini yangu kuwa mradi huu wa sequip una fadhiliwa na wahisani kwa fedha za kutosha sana,IWEJE Walimu hao wasilipwe fedha zao za semina!!?

Hivi hao Walimu wanaelewa kweli hicho wanachoseminishwa kwa njaa na malazi yasiyoeleweka!!?

Naamini wizara YAKO ya elimu ipo macho na itatenda kwa ajili ya udhalilishaji huu kwa watumishi wa umma ambao ni kioo cha jamii wanaodhalilishwa hapo mwanza!!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu awape wepesi Walimu hao wanaodhalilishwa dhalili!
Vipi Bado hawajalipwa?
 
Habari wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Poleni sana wanasemina. Ukweli mchungu lakini kiuhalisia hii kada inastahili itizamwe kwa jicho la kipekee sana. Cha kusikitisha sana tumekimbilia kuanza kuandika Sera na mitaala kabla ya ku-define mahitaji ya resources etc. Binafsi bado siamini na nitaendelea kutokuamini juu ya badilisha badilisha mitaala. Hapa issue siyo mitaala. Issue ni resources. Tuweke hapo resources kwa 90% tuone huo mtaala kama hujafanikiwa. Let us put politics aside kwenye issue za msingi. Sekta ya Elimu ni sensitive sana.
Juzi tumepata katibu mkuu mpya japo before alikuwa naibu katibu mkuu. Jitahidi sana mje na mapinduzi na siyo hizi kick za mheshimiwa Waziri. Waziri Mkenda upo vizuri katika kuzungumza. Ebu jitahidi maneno yaende na vitendo. Tumieni wadau wabobezi kuweza kufikia mageuzi na siyo okota okota inayofanyika ya kuwa na wenyeviti wasiokuwa na vigezo.
Mwisho, tunaomba walimu hawa wasaidieni stahiki zao waweze kujifunza katika mazingira Bora.
 
Mheshimiwa

Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini cha ajabu HII NI SIKU YA NNE TANGU JUMATATU HAWAJALIPWA CHOCHOTE NA HALI ZAO NI MBAYA SANA!

Taarifa za kuaminika ni kuwa baadhi yao wameanza kuomba hifadhi ya kulala kwa wanachuo kwa kukosa Fedha za kulipia VYUMBA pia wanalia hawapati chakula cha jioni!!!

Nimatumaini yangu kuwa mradi huu wa sequip una fadhiliwa na wahisani kwa fedha za kutosha sana,IWEJE Walimu hao wasilipwe fedha zao za semina!!?

Hivi hao Walimu wanaelewa kweli hicho wanachoseminishwa kwa njaa na malazi yasiyoeleweka!!?

Naamini wizara YAKO ya elimu ipo macho na itatenda kwa ajili ya udhalilishaji huu kwa watumishi wa umma ambao ni kioo cha jamii wanaodhalilishwa hapo mwanza!!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu awape wepesi Walimu hao wanaodhalilishwa dhalili!
Mkenda was Nini Sasa?,Mshahara umetoka juzi umeupeleka wapi,walimu bana yaani siku nne mko hoi,mtaweza mtaani nyinyi?
 
Mnafanya ualimu udharaulike hivi unashindwa kuishi kwa siku nne tu nje ya makazi yako.
Umenena vema, walimu jitambueni, punguzeni makasiriko, kuweni na imani kuwa mtalipwa, na pia siamini kama hamjaambiwa juu ya stahiki zenu, uvumilivu hulipa kumbukeni kwenye package ya meals hakunaga dinner, ni breakfast na lunch na labda chai ya saa 10 jioni

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa

Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini cha ajabu HII NI SIKU YA NNE TANGU JUMATATU HAWAJALIPWA CHOCHOTE NA HALI ZAO NI MBAYA SANA!

Taarifa za kuaminika ni kuwa baadhi yao wameanza kuomba hifadhi ya kulala kwa wanachuo kwa kukosa Fedha za kulipia VYUMBA pia wanalia hawapati chakula cha jioni!!!

Nimatumaini yangu kuwa mradi huu wa sequip una fadhiliwa na wahisani kwa fedha za kutosha sana,IWEJE Walimu hao wasilipwe fedha zao za semina!!?

Hivi hao Walimu wanaelewa kweli hicho wanachoseminishwa kwa njaa na malazi yasiyoeleweka!!?

Naamini wizara YAKO ya elimu ipo macho na itatenda kwa ajili ya udhalilishaji huu kwa watumishi wa umma ambao ni kioo cha jamii wanaodhalilishwa hapo mwanza!!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu awape wepesi Walimu hao wanaodhalilishwa dhalili!
Punguza kulia lia.

Mafunzo kama haya yenye ufadhili, mara nyingi malipo hufanyika katikati ya mafunzo na mwishoni mwa mafunzo.

Unapiga kelele siku ya nne na bado ngoma mbichi sana. Ukikaa vibaya utarudisha mikono mitupu nyumbani licha ya kulipwa.
 
Andiko lako sijui Kama linaukweli
Kwa ufupi Mimi ni mwalimu wa sayansi natokea mkoa wa geita na wiki mbili zilizopita ndio ilikuwa awamu yetu kama mkoa hapo butimba semina ilienda vizuri bila uwepo malalamiko yoyote kwani Kama kulala tulikuwa tunalala hapo hapo chuoni labda kwa Yule ambae hakupenda ndio aliweza kuwa anaenda kulala guest
Suala la chakula kiukweli walikuwa wamejipanga tulipata Milo mpaka minne kwa siku
Na Jambo la posho tangu nimekuwa mwalimu nilikuwa sijawahi kwenda semina ya ualimu nikalipwa kiasi kikubwa Cha fedha Kama nilicho lipwa kwa awamu hii kiukweli kwa mkoa wa geita hatuna Cha kuilaumu serikali
Labda kwa mkoa wenu wa tabora sijui imekuaje
 
Nilikuwa mwalimu, pale Mawe Matatu Misungwi. Nikaona ualimu na walimu ni mburula, nikaacha.
 
Back
Top Bottom