cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Dec 19, 2023 #21 akili akili said: Hii wizara kila mtu anakuja na mambo yake.Kuna waziri aliwahi kuchanganya physics na Chemistry, mwingine akaja na mfumo wa GPA na sasa tunaenda na "mwisho darasa la 6".... Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
akili akili said: Hii wizara kila mtu anakuja na mambo yake.Kuna waziri aliwahi kuchanganya physics na Chemistry, mwingine akaja na mfumo wa GPA na sasa tunaenda na "mwisho darasa la 6".... Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jabari XVI JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 1,075 Reaction score 1,466 Dec 19, 2023 #22 Tozo said: Sijajua kama Wizara inaweza kusitisha likizo ya mwalimu kwa kumlipa kama wanavyolipana wao. Click to expand... Serikali haina pesa ya kuwalipa hao walimu ila wanasiasa ndiyo wenye haki ya kulipwa mamilioni ya kodi zetu
Tozo said: Sijajua kama Wizara inaweza kusitisha likizo ya mwalimu kwa kumlipa kama wanavyolipana wao. Click to expand... Serikali haina pesa ya kuwalipa hao walimu ila wanasiasa ndiyo wenye haki ya kulipwa mamilioni ya kodi zetu