Prof. Mkenda una maamuzi ya kukurupuka kwenye elimu. Unajua hata Form 5 haitekelezeki kusoma mpaka 22 Desemba. Iweje mitaala mipya mwakani?

Prof. Mkenda una maamuzi ya kukurupuka kwenye elimu. Unajua hata Form 5 haitekelezeki kusoma mpaka 22 Desemba. Iweje mitaala mipya mwakani?

Hii wizara kila mtu anakuja na mambo yake.Kuna waziri aliwahi kuchanganya physics na Chemistry, mwingine akaja na mfumo wa GPA na sasa tunaenda na "mwisho darasa la 6"....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijajua kama Wizara inaweza kusitisha likizo ya mwalimu kwa kumlipa kama wanavyolipana wao.
Serikali haina pesa ya kuwalipa hao walimu ila wanasiasa ndiyo wenye haki ya kulipwa mamilioni ya kodi zetu
 
Back
Top Bottom