Pre GE2025 Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM

Pre GE2025 Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

1738750815453.png

Soma, Pia: Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
 
Huu uprofesa siku hizi hauna thamani tena! Inasikitisha sana! Wasomi kama huyu hawana msaada wowote kwa Taifa, pengine hata kwenye familia yake hana faida kabisa!
 
Hizo rangi rangi mbona zinatia kizunguzungu? Hazina uhusiano na kile chama maarufu cha usawa? 😲
 
Nimeona picha kibao kwenye vyombo vya habari vikiripoti juu ya sijui goalkeeper award. Gate gani wanatunza wakati tunapigwa kila siku ima na wachukuaji au machawa? Gatekeeper la kwake na mumewe au la taifa ambalo hata hivyo halina gate wala milango. Sasa gatekeeper award ya nini wakati Ngorongoro watu wanahamishwa kupisha waarabu?
 
Nakumbuka hayati Mrema waliposema mgombea urais lazima awe na digrii haikupita muda akaletewa toka Marekani japo hakwenda kusomea.
Tuzo za fix zipo nyingi muulizeni Msoga.
 
Jamani mbona picha picha hizo ni kama za mahog)? Isije kuwa kapewa na mashoga kwa shughuli maalum ya kueneza itikadi hiyo. Nifanulieni kama kuna kiongozi yeyote duniani aliwahi kupewa duzo hiyo au ni yake peke yake na je ni ni taasisi gani imetoa hiyo tuzo?
ku wakl LMbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Soma, Pia: Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
 
Back
Top Bottom