Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Chama Cha Majuha.Nchi hii ukiwa mpumbavu ni lazima pia uwe ccm
Nchi ina ma mambo ya hovyo, why lakin wanajitoa ufaham?Wakuu
Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma, Pia: Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
Huu uprofesa siku hizi hauna thamani tena! Inasikitisha sana! Wasomi kama huyu hawana msaada wowote kwa Taifa, pengine hata kwenye familia yake hana faida kabisa!Wakuu
Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma, Pia: Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
Nyoosha maelezo usificheHizo rangi rangi mbona zinatia kizunguzungu? Hazina uhusiano na kile chama maarufu cha usawa? 😲
Nina wasiwasi na ule mtandao wa mashoga anaohubiri Wasira kama sio mkono wao basi. 😢Nyoosha maelezo usifiche
Huyu ni chawa hovyo sana!Nchi ina maprofesa wa hivyo sana .
Nakumbuka hayati Mrema waliposema mgombea urais lazima awe na digrii haikupita muda akaletewa toka Marekani japo hakwenda kusomea.Nimeona picha kibao kwenye vyombo vya habari vikiripoti juu ya sijui goalkeeper award. Gate gani wanatunza wakati tunapigwa kila siku ima na wachukuaji au machawa? Gatekeeper la kwake na mumewe au la taifa ambalo hata hivyo halina gate wala milango. Sasa gatekeeper award ya nini wakati Ngorongoro watu wanahamishwa kupisha waarabu?
ku wakl LMbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma, Pia: Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award