Prof. Mkumbo: Ajenda ya Katiba mpya ni ya CCM, hakuna mwingine mwenye ajenda hiyo nje ya Chama kinachotawala

News Tz1

Member
Joined
Nov 28, 2025
Posts
82
Reaction score
110
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewashukia wanasiasa wanaozunguka nchi nzima kufanya mikutano au kutishia maandamano kwa kigezo cha kudai Katiba Mpya, akifafanua kuwa ajenda hiyo si mali ya upinzani bali tayari imeshaahidiwa kupitia llani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ya 2025/20230.

Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 23, 2026, Prof. Kitila amewataka wabunge wa CCM kutobabaishwa na shinikizo la kisiasa linaloendeshwa majukwaani, kwani Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka dhamira ya dhati ya kulinda utawala wa sheria na demokrasia .

Prof. Kitila ametoa ufafanuzi huo wakati akihitimisha hoja na kulitaka Bunge kupitisha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, akisisitiza kuwa misingi ya demokrasia na haki imeelekezwa kimkakati kuanzia ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewashukia wanasiasa wa vyama vya upinzani wanaozunguka nchi nzima kufanya mikutano na kutishia maandamano kwa kigezo cha kudai Katiba Mpya, akifafanua kuwa ajenda hiyo si mali ya upinzani bali tayari imeshaahidiwa na kupangwa kutekelezwa kisheria ndani ya Ilani ya Uchaguzi ya chama tawala cha CCM.

Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 23, 2026, Prof. Kitila amewataka wabunge wa CCM kutobabaishwa na shinikizo la kisiasa linaloendeshwa majukwaani, kwani Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka dhamira ya dhati ya kulinda utawala wa sheria na kukamilisha mchakato huo kwa utaratibu rasmi.

Mtu mzima kusimamisha kiriba tumbo na kuongea uongouongo, uzushi na upumbavu ni aibu sana.Haiishii kwake tu.Huenda hadi kwa mkewe na watoto wake.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewashukia wanasiasa wa vyama vya upinzani wanaozunguka nchi nzima kufanya mikutano na kutishia maandamano kwa kigezo cha kudai Katiba Mpya, akifafanua kuwa ajenda hiyo si mali ya upinzani bali tayari imeshaahidiwa na kupangwa kutekelezwa kisheria ndani ya Ilani ya Uchaguzi ya chama tawala cha CCM.

Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 23, 2026, Prof. Kitila amewataka wabunge wa CCM kutobabaishwa na shinikizo la kisiasa linaloendeshwa majukwaani, kwani Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka dhamira ya dhati ya kulinda utawala wa sheria na kukamilisha mchakato huo kwa utaratibu rasmi.

Prof. Kitila ametoa ufafanuzi huo wakati akihitimisha hoja na kulitaka Bunge kupitisha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, akisisitiza kuwa misingi ya demokrasia na haki imeelekezwa kimkakati kuanzia ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.
Magnum idiocy. Katiba mpya ni agenda ya wananchi!
 
Waliofukuzwa Chadema kina Katambi,Kitila,Bulaya,Matiko siku hizi wanajifanya wanaijua ccm kuliko wanachama waandamizi na wa zamani.
Wamegeuka wasemaji kuliko Kihongosi, Nape na Kinana.
 
Lakini ni sawa,CCM inapenda vitu vya namna hiyo
 
Ni kweli kabisa ipo kwenye ya Chama na mama Samia aliahidi
 
Wanasiasa wanapenda kutengeneza drama out of petty issues just for sake of political gain and self‑promotion, while real problems remain unsolved.
 
Back
Top Bottom