Prof Mkumbo anafaa Wizara ya Elimu, Mkenda peleka Uwekezaji

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika.

Kama aliingia CCM kwa kuhongwa huyu ni bure hawezi kukomboa hi nchi kwasbb elimu duni ndo mtaji mkubwa wa CCM.
 
Hivi CHADEMA mna ndoto ya kuongoza nchi gani? Lini? Mlivyo mazombi mtashiriki chaguzi zinazokuja kisha mje kudai mliibiwa?
 
Huyo fala unayemsifia alikuwa CHADEMA , wenye akili wote wako CHADEMA na endelea kumuomba mungu wako wachukue nchi ili vizazi vyako vijavyo viishi nchi ya maziwa na asali
 
Hivi ni lazima ukishindwa huku upelekwe kule, huwez achwa tu uzurure majalalani maana kazi imekushinda?
 
Huyo fala unayemsifia alikuwa CHADEMA , wenye akili wote wako CHADEMA na endelea kumuomba mungu wako wachukue nchi ili vizazi vyako vijavyo viishi nchi ya maziwa na asali
Hawezi kuelewa huyo member wa Chama Cha Mapori!!
 
Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika.

Wote hao ni tabula Rasa
 
Hata mama nadhani alipaswa kuwa pale masijala ya wizara ya michezo na utamaduni, urais hapana.
 
Back
Top Bottom