Kama aliingia CCM kwa kuhongwa huyu ni bure hawezi kukomboa hi nchi kwasbb elimu duni ndo mtaji mkubwa wa CCM.Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika.
Kitila Mkumbo
School of Education, University of Dar es Salaam - Cited by 931 - Social Psychology and Educationscholar.google.com
Hivi CHADEMA mna ndoto ya kuongoza nchi gani? Lini? Mlivyo mazombi mtashiriki chaguzi zinazokuja kisha mje kudai mliibiwa?Kama aliingia CCM kwa kuhongwa huyu ni bure hawezi kukomboa hi nchi kwasbb elimu duni ndo mtaji mkubwa wa CCM.
Ulishawahi kusimamia uchaguziHivi CHADEMA mna ndoto ya kuongoza nchi gani? Lini? Mlivyo mazombi mtashiriki chaguzi zinazokuja kisha mje kudai mliibiwa?
Huyo fala unayemsifia alikuwa CHADEMA , wenye akili wote wako CHADEMA na endelea kumuomba mungu wako wachukue nchi ili vizazi vyako vijavyo viishi nchi ya maziwa na asaliHivi CHADEMA mna ndoto ya kuongoza nchi gani? Lini? Mlivyo mazombi mtashiriki chaguzi zinazokuja kisha mje kudai mliibiwa?
Hivi CHADEMA mna ndoto ya kuongoza nchi gani? Lini? Mlivyo mazombi mtashiriki chaguzi zinazokuja kisha mje kudai mliibiwa?
Hawezi kuelewa huyo member wa Chama Cha Mapori!!Huyo fala unayemsifia alikuwa CHADEMA , wenye akili wote wako CHADEMA na endelea kumuomba mungu wako wachukue nchi ili vizazi vyako vijavyo viishi nchi ya maziwa na asali
Wote hao ni tabula RasaKama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika.
Kitila Mkumbo
School of Education, University of Dar es Salaam - Cited by 931 - Social Psychology and Educationscholar.google.com