PostGE2025 Prof. Mkumbo: Mchakato wa Katiba Mpya utaendelezwa ulipoishia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo katika Mkutano wa Tume ya Taifa ya Mipango na Waandishi wa Hanari kuhusu Maelezo ya Utekelezaji wa DIRA2050, Ikulu Dar es Salaam 31 Mei, 2025 amesema;

"Ndio maana umeona kwenye dira, kwenye mpango mrefu, na hata kwenye ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi ambayo ndio sasa imebadilika kuwa mpango wa maendeleo, tumeweka swala la mapitio ya katiba. Kwa hiyo, swala la constitutional framework is key, na tumekubaliana tukamilishe mchakato pale ulipoishia katika kipindi hiki cha miaka mitano.

"So, the constitutional process is a key agenda, ambayo hiyo nadhani na Mheshimiwa Rais wakati anapokea taarifa ya tume ya Jaji Chande, alizungumzia kwa kirefu. Amelizungumzia kwa kirefu kwenye utubaji wake ya kufungua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bunge la kumi na tatu na katika speech zake mbalimbali."

"Lakini, nataka niseme, kwa mara ya kwanza swala la katiba mpya limeingia katika ilani ya Chama cha Mapinduzi. Si jambo dogo, ni jambo kubwa na mimi nafahamu ugumu mchakato wake nikiwepo kama mwenyekiti wa kuandika ilani hiyo. Mpaka chama kimeamua kukichukua, this is something which is very serious. Na ukitaka kujua katika nchi hii, hili jambo ni kubwa, lina uzito kiasi gani na litatokea au halitatokea, pitia ilani ya CCM. Likishafika kwenye ilani, hilo litatokea."
 
View attachment 3598270

Ndio maana umeona kwenye dira, kwenye mpango mrefu, na hata kwenye ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi ambayo ndio sasa imebadilika kuwa mpango wa maendeleo, tumeweka swala la mapitio ya katiba. Kwa hiyo, swala la constitutional framework is key, na tumekubaliana tukamilishe mchakato pale ulipoishia katika kipindi hiki cha miaka mitano.

So, the constitutional process is a key agenda, ambayo hiyo nadhani na Mheshimiwa Rais wakati anapokea taarifa ya tume ya Jaji Chande, alizungumzia kwa kirefu. Amelizungumzia kwa kirefu kwenye utubaji wake ya kufungua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bunge la kumi na tatu na katika speech zake mbalimbali.

Lakini, nataka niseme, kwa mara ya kwanza swala la katiba mpya limeingia katika ilani ya Chama cha Mapinduzi. Si jambo dogo, ni jambo kubwa na mimi nafahamu ugumu mchakato wake nikiwepo kama mwenyekiti wa kuandika ilani hiyo. Mpaka chama kimeamua kukichukua, this is something which is very serious. Na ukitaka kujua katika nchi hii, hili jambo ni kubwa, lina uzito kiasi gani na litatokea au halitatokea, pitia ilani ya CCM. Likishafika kwenye ilani, hilo litatokea.
Katika kipindi cha miaka mitano au sio?🤣🤣🤣🤣🤣
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo katika Mkutano wa Tume ya Taifa ya Mipango na Waandishi wa Hanari kuhusu Maelezo ya Utekelezaji wa DIRA2050, Ikulu Dar es Salaam 31 Mei, 2025 amesema;

"Ndio maana umeona kwenye dira, kwenye mpango mrefu, na hata kwenye ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi ambayo ndio sasa imebadilika kuwa mpango wa maendeleo, tumeweka swala la mapitio ya katiba. Kwa hiyo, swala la constitutional framework is key, na tumekubaliana tukamilishe mchakato pale ulipoishia katika kipindi hiki cha miaka mitano.

"So, the constitutional process is a key agenda, ambayo hiyo nadhani na Mheshimiwa Rais wakati anapokea taarifa ya tume ya Jaji Chande, alizungumzia kwa kirefu. Amelizungumzia kwa kirefu kwenye utubaji wake ya kufungua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bunge la kumi na tatu na katika speech zake mbalimbali."

"Lakini, nataka niseme, kwa mara ya kwanza swala la katiba mpya limeingia katika ilani ya Chama cha Mapinduzi. Si jambo dogo, ni jambo kubwa na mimi nafahamu ugumu mchakato wake nikiwepo kama mwenyekiti wa kuandika ilani hiyo. Mpaka chama kimeamua kukichukua, this is something which is very serious. Na ukitaka kujua katika nchi hii, hili jambo ni kubwa, lina uzito kiasi gani na litatokea au halitatokea, pitia ilani ya CCM. Likishafika kwenye ilani, hilo litatokea."
CCM abadani hawawezi kukubali katiba mpya.
Wataanza sarakasi hadi uchaguzi ufike uendeahwe kwa katiba ya zamani.
 
Ulipoishia wapi....mjadala wa serikali tatu ama moja ......au ulipoishi watu fulani kupitisha kijinakala chao kisicho na baadhi ya vipengele Muhimu
Anyways sijui sana haya mambo wadau mnipe elimu tafadhali
 
Hawa jamaa wanataka kutuletea mauzauza. Mchakato uliishia kwenye mvurugano kati ya ccm na ukawa. Baada ya ukawa kutoka bungeni, ccm walijimilikisha na kuharibu muundo wote uliopendekezwa na wananchi.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo katika Mkutano wa Tume ya Taifa ya Mipango na Waandishi wa Hanari kuhusu Maelezo ya Utekelezaji wa DIRA2050, Ikulu Dar es Salaam 31 Mei, 2025 amesema;

"Ndio maana umeona kwenye dira, kwenye mpango mrefu, na hata kwenye ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi ambayo ndio sasa imebadilika kuwa mpango wa maendeleo, tumeweka swala la mapitio ya katiba. Kwa hiyo, swala la constitutional framework is key, na tumekubaliana tukamilishe mchakato pale ulipoishia katika kipindi hiki cha miaka mitano.

"So, the constitutional process is a key agenda, ambayo hiyo nadhani na Mheshimiwa Rais wakati anapokea taarifa ya tume ya Jaji Chande, alizungumzia kwa kirefu. Amelizungumzia kwa kirefu kwenye utubaji wake ya kufungua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bunge la kumi na tatu na katika speech zake mbalimbali."

"Lakini, nataka niseme, kwa mara ya kwanza swala la katiba mpya limeingia katika ilani ya Chama cha Mapinduzi. Si jambo dogo, ni jambo kubwa na mimi nafahamu ugumu mchakato wake nikiwepo kama mwenyekiti wa kuandika ilani hiyo. Mpaka chama kimeamua kukichukua, this is something which is very serious. Na ukitaka kujua katika nchi hii, hili jambo ni kubwa, lina uzito kiasi gani na litatokea au halitatokea, pitia ilani ya CCM. Likishafika kwenye ilani, hilo litatokea."
Pumbaf MaCCM YOTE
 
Hawa jamaa wanataka kutuletea mauzauza. Mchakato uliishia kwenye mvurugano kati ya ccm na ukawa. Baada ya ukaww kutoka bungeni, ccm walijimilikisha na kuharibu muundo wote uliopendekezwa na wananchi.
Labda mtu ambae hana akili ndio atawaamini, hicho wanachotaka kufanya ni kama kulambishana pipi iiliyo kwenye ganda, hakuna hao elite wa ccm hakuna ambae ana moyo wa dhati wa kubadirisha katiba, haya maaigizo kama maingizo mengine yaliyofanyika kipindi cha walioba huku wakijua wanaenda wapi ipiga pini
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo katika Mkutano wa Tume ya Taifa ya Mipango na Waandishi wa Hanari kuhusu Maelezo ya Utekelezaji wa DIRA2050, Ikulu Dar es Salaam 31 Mei, 2025 amesema;

"Ndio maana umeona kwenye dira, kwenye mpango mrefu, na hata kwenye ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi ambayo ndio sasa imebadilika kuwa mpango wa maendeleo, tumeweka swala la mapitio ya katiba. Kwa hiyo, swala la constitutional framework is key, na tumekubaliana tukamilishe mchakato pale ulipoishia katika kipindi hiki cha miaka mitano.

"So, the constitutional process is a key agenda, ambayo hiyo nadhani na Mheshimiwa Rais wakati anapokea taarifa ya tume ya Jaji Chande, alizungumzia kwa kirefu. Amelizungumzia kwa kirefu kwenye utubaji wake ya kufungua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bunge la kumi na tatu na katika speech zake mbalimbali."

"Lakini, nataka niseme, kwa mara ya kwanza swala la katiba mpya limeingia katika ilani ya Chama cha Mapinduzi. Si jambo dogo, ni jambo kubwa na mimi nafahamu ugumu mchakato wake nikiwepo kama mwenyekiti wa kuandika ilani hiyo. Mpaka chama kimeamua kukichukua, this is something which is very serious. Na ukitaka kujua katika nchi hii, hili jambo ni kubwa, lina uzito kiasi gani na litatokea au halitatokea, pitia ilani ya CCM. Likishafika kwenye ilani, hilo litatokea."
Hawa watu ni wajaja wanataka kuwatoa watanzania kwenye reli ili kupunguza nguvu za kudai katiba mpya. Ni uongo na ulaghai tu
 
Back
Top Bottom